Unazikumbuka filamu hizi??

"Xi You Ji" au "Journey to the west" star wake akiwa ni monkey king - Sun Wukong ilikuwa inanikosha sana...:cool2::cool2:
 
Tamthilia mbili tu zikirudiwa nitafurahi sana......The Promise (Yna na Angelo) na La mujer de mida (Babarita na Antonio Adolf Thompson)
 
Mimi nakumbuka tamthilia ya LEA MWANA, mojawapo ya tamthilia za mwanzo kabisa kutoka Kenya zilizorushwa na ITV.
 
mr. T jitu la miraba minne lilikuwa linanyoa staili flan hivi siku hizi mnaita kiduku

mr-t-gold-chains-sparkling.gif


HUYO HAPO JUU
 
Back
Top Bottom