Unawezaje kutambua jinsia ya mtoto bila ultra sound?

dada yangu wamemtabiria kiume watu wote wanao mzunguka hadi wachungaji na sura ya mzazi ilikuwa kama kalai ya zege iliyokaukia lakini kazaliwa mtoto wa kike
koh mpaka mchungaji ameshindwa kutabiri inavyotakiwa!!
 
Kwa hisani yawa Korea inasema Kama mtoto ni wa kiume Mama huwa na tumbo lililochongoka chini ya kitovu kinyume na hapo ni Ke.
Hapa naweza kukubaliana na wewe mana hata kwa Kuku ni hivyo hivyo. Yai lenye mchongoko linatoa jogoo, mviringo kabisa linatoa jike
 
Heshima kwenu wakuu,

Mke wangu mjamzito wa miezi sita, amekuwa akipenda sana kuwa na mtoto jinsia ya kike hivyo ikabidi nimshauri asiende kuangalia jinsia ya mtoto kwenye ultra sound mpaka pale atakapozaliwa.

Lengo la kushauriana hivyo ni kwamba endapo akiangalia na akaona ni jinsia ya kiume pengine upendo unaweza pungua tokea mtoto akiwa tumboni mpaka pale atakapokuja kukubali. Yaani anapenda mtoto wa kike to the maximum

Binafsi nipo tayari kwa jinsia yoyote ile japo nina ham sana ya kufahamu jinsia yake ila sipendi mwenzangu afahamu jinsia kutokana na mapenzi yake, hivyo wakuu ningependa kufahamu njia mbadala ya kutambua jinsia hata kama sio 100% perfect.

Jinsi alivyo kwasasa: Mtoto ana kick sana tumboni mpaka tumbo linatingishika, mke anakula sana, hana hasira, wivu umeongezeka na kunijali sana. Mkiniuliza swali lolote nitawajibu, twende kazi.
Naomba kujua ulipata jinsia gani?
 
Nimesoma comment zenu karibia wote,nimetambua elimu ya afya hamjui hata kidogo.mtu hata biology hakusoma lkn anavyojaribu kudanganya humu,duuuuuu kweli jf ni watu wasiojulikana.

Naomba umwambie mke wako aje hospitalini mkiwa pamoja ili mpate ushauri wa Dr .kama unataka majibu sahihi,madaktari tuna uandishi wetu na utalaam wetu,na huwa siri ni Mgonjwa na daktari huwa tuna siri sana mkuu.
 
Viashiria vya uwezekano Wa mtoto Wa kiume
1. Mtoto huanza kucheza tumboni wiki ya 20
2. Mke humchukia/havutiwi na Mme wake
3. Ngozi ya mzazi huharibika (harara)
4. Kawaida ya mtoto wa kiume ana michezo michache, wakati mwingine anaweza pitisha siku nzima bila kucheza. Au akicheza anacheza kwa muda mfupi saana.

Dalili za mtoto Wa like
1. Mtoto huanza kucheza tumboni wiki ya 16
2. Mke humpenda zaidi Mme wake
3. Ngozi ya mzazi hung'aa zaidi na kupendeza
4. Mtoto Wa kike hucheza Kwa muda mrefu kati ya dakika 5-30. Na Kwa siku anacheza mara kadhaa, hasa kila akitulia tulii, hasa akilala chali.

Hitimisho.
Pima wastani wa vigezo hivyo vyoote kisha utapata jibu. Mie nilitumia vigezo hivyo na havikunidanganya.

Kutokana na maelezo yako, tarajia kupata mtoto Wa kike
umenena kitu halisia kabisa.
 
Back
Top Bottom