Nawezaje kuishi na mwanamke zaidi ya miaka kumi bila ndugu wala marafiki zangu kazini kujua

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,303
29,872
Mda umefika nahitaji kuweka jiko ndani ila Katika haya yote nataka niwe na usiri mkubwa sanaa juu ya mm na mke wangu kwenye swala la mahusiano, nitamuweka mbali na mji ninaofanyia kazi ila sitaki kabisa Marafiki zangu wa kazini na wasio kazini wajue mke wangu

Nahitaji kufanya hivyo kama ambavyo ilikuwa vigumu kujua mme wa tulia ackson mwansasu, mke wa buludoza mwamposa, watoto wa spika wa bunge, nk

Hili sio jambo geni Kuna watu nawajua fika wana watoto na mke ila haikuwa rahisi mpaka kufahamu hata nduguze na marafiki wa karibu hawajui kuwa ana mke na watoto

Sasa wajuzi Naomba mnipe mbinu nzito za kutokujua mke wangu hata watoto ikiwezekana, sihitaji sanaa wajue maana hizi ndoa bhnaa wanaozivunja ni hawa wanaojifanya wanakujua sana na nikijitazama nimejaribu sana watoto wa kike, nipo kwenye vita nzito wengi wanafosi niwaowe ila mimi sitaki, nimechagua ninaemtaka ila sitaki ajulikane
 
Hilo ni tatizo,
 
Back
Top Bottom