chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,089
- 890
Dada yangu wamemtabiria kiume watu wote wanao mzunguka hadi wachungaji na sura ya mzazi ilikuwa kama kalai ya zege iliyokaukia lakini kazaliwa mtoto wa kike.Wa kike huyo
Dada yangu wamemtabiria kiume watu wote wanao mzunguka hadi wachungaji na sura ya mzazi ilikuwa kama kalai ya zege iliyokaukia lakini kazaliwa mtoto wa kike.Wa kike huyo
Wa kike huyo...Hana chunusi, yupo tu vile vile kama alivyokuwa mwanzo
Wa kiume wanapenda kuharibu shape na sura haoo mpaka unasahaulika!Wa kike huyo
Inategemea aiseeWa kike huyo...
Mtoto wa kiume ana tabia ya kuchafua uso
Ina aminika ujauzito unabadili hormones kwenye mwili na jinsia ya mtoto inachangia wingi au uchache wa acid kwenye mkojo wa mama mjamzito.what is mechanism behind?
Sahihi....mm kipind cha mtoto wa kike tumbo lilikuwa pana, hips na tako liliongezeka....but wakiume tumbo linachongoka sana linajaa mbele..Kwa hisani yawa Korea inasema Kama mtoto ni wa kiume Mama huwa na tumbo lililochongoka chini ya kitovu kinyume na hapo ni Ke.
Baking soda itagoma kuingia ndanivya glass
Una bhagasi bhalinga go lukwafya?Mimi sijui mkuu japo na mm mke wangu atajifungua mwezi huu wa December lkn Dogo tumboni hana makelele kabisa
hii ni random sampling au ?Hizo dalili unazozisema kama kukupenda, mtoto kuchezacheza sana tumboni hata mimi mke wangu alikuwa nazo hizo hizo na amejifungua mtoto wa kike, kwa hivyo kuna uwezekano mkubwa akawa mtoto wa kike.