Unaweza Lipwa Mshahara Wa sh/ Mil 1.5 Serekalini?

Sisi ambao tupo kwenye makampuni binafsi hatujui scale. Unapatana tu na hr unataka ngapi basi. Ukijichanganya imekula kwako.
 
maendeleo ya mtu hayategemezwi na mshahara kuna watu wako mamkoa wanalipwa kati ya kilo 3 mpaka 5 lakini wamejenga ,wanafuga,wanalima na wanamiliki magari ya hadhi ya kati,bandugu mipango ni muhimu plus extra curriculum activities.....kwa kifupi mabadiliko ya mtu yanategemea na software gani zilizo active ndani ya kichwa chake kwa mfano ngono,disabled/enabled? Savings?alcohol?prayers?
duh mkuu hapo umenigusa kwa kweli kuna software fulani inabid ni uninstall haraka iwezekanavyo!
 
duu kasomea nini mkuu nikupatie makadirio ya mshahara wake hapa any way check hizi kama ni graduate lakini

engeneering --- ataanza na kitu kama laki 6 - 8
Information techn ataanza na kitu kama laki 5 - 7
accountants ataanza na kitu kama laki 5 - 7
mwalimu ataaanza na kitu kama laki 3 - 5
daktari ataanza na kitu kama laki 6 - 8
other social sciencies ie sociology, BA, pspa, ataanza na kama laki 3 - 5
law ataanza na kitu kama laki 4 - 6

since mimi ni HR by professional hii ni mishahara ya makampuni mengi kwa kipindi hichi

Mkuu hongera kwa kumjuza huyo mwenzetu
 
1.7 before tax au vijana msjidanganye na kuges aliyekudanganya mwambie akalale...kuna mashrka mengi yanalpa vzur bt fresh graduate yeyote kwa taasisi / mashrka ya uma maxmum ni 1.5 kwa mwez ts beter mkafanya kaz ata halmashaur au taasisi yeyote ili upate cv ata ya 3yrs uingie government ukiwa na uzoefu wa 3yrs upate ata 1.8 bt ukikaa dar usubr 1.7 utafka mahali unatafta mshahara wa laki 3 unakosa ata taasisi za mikopo zinaangalia miaka kazn I.e lazma uwe umethibtshwa kazn na kuthbtshwa ni baada ya 1year kama huna nidhamu unasubir 2 to 3yrs kwa mashrka ya umma..sasa wewe baki dar uksubr 1.7 m uishie kufa maskini ....vijana waliomalza chuo wakaenda mikoani mapema dn afta 3 au to 5 yrs kurud dar wanakua na mafanikio sana cz baadhi wanaobak dar wanakula bata dn wakapata salary ya 1m wanaangalia future

mkuu tiss huwa huwa awakatwi kodi
 
Duh hizo hela mbona ndefu kama ndo kwanza umeanza kazi

Kma umesoma vyuo vya kata na GPA za kuunga unga, halafu kichwani hauko poa utaiona hela ndi ndefu.

But kama una uhakika na GPA yako, chuo freshi na Kuanzia "Verbal" na "Written" interview uko poa mbona hata hiyo Tshs 1.5Mil ni kidogo? Pamoja na u-fresh from college wako still you deserve the best.
 
Acha uongo wewe,labda kama ni certificate au diploma za law ambazo kwa sasa kazi kubwa ni ukarani...graduate ambaye ni magistrate, state attorney na kuendelea wanakunja kuanzia 7k na kuendelea.

Muongo ni wewe unayeishi nchi ya kufikirika. gango2 yuko sahihi kabisa. Niko serikalini kwa takriban miaka 32 sasa na nina degree ya ICT. Hakuna anayeanza na 1.5m, na hata waliofanya kazi muda mrefu kama mimi bado hatujafikia hiyo 1.5m. Labda taasisi binafsi, NGO, Agency zinazojitegemea etc. Karibu Serikalini ujionee mwenyewe.
 
Mbona TAKUKURU wanalipa hivyo??
 
Kma umesoma vyuo vya kata na GPA za kuunga unga, halafu kichwani hauko poa utaiona hela ndi ndefu.

But kama una uhakika na GPA yako, chuo freshi na Kuanzia "Verbal" na "Oral" interview uko poa mbona hata hiyo Tshs 1.5Mil ni kidogo? Pamoja na u-fresh from college wako still you deserve the best.

GPA kama nzuri fresh from school unaomba kuwa tutorial assistant kwenye vyuo vya umma na unaanza na zaidi ya hiyo 1.5! cku ukiongeza na masters basi unakula zaidi ya 2.2! vyuo vya umma vinalipa vizuri sana
 
Kma umesoma vyuo vya kata na GPA za kuunga unga, halafu kichwani hauko poa utaiona hela ndi ndefu.

But kama una uhakika na GPA yako, chuo freshi na Kuanzia "Verbal" na "Oral" interview uko poa mbona hata hiyo Tshs 1.5Mil ni kidogo? Pamoja na u-fresh from college wako still you deserve the best.

verbal na oral

what do you mean?
 
duu kasomea nini mkuu nikupatie makadirio ya mshahara wake hapa any way check hizi kama ni graduate lakini

engeneering --- ataanza na kitu kama laki 6 - 8
Information techn ataanza na kitu kama laki 5 - 7
accountants ataanza na kitu kama laki 5 - 7
mwalimu ataaanza na kitu kama laki 3 - 5
daktari ataanza na kitu kama laki 6 - 8
other social sciencies ie sociology, BA, pspa, ataanza na kama laki 3 - 5
law ataanza na kitu kama laki 4 - 6

since mimi ni HR by professional hii ni mishahara ya makampuni mengi kwa kipindi hichi

Nimesikia kampuni ya sigara ndio inaongoza kwa mishahara minono hapa Tz.
 
By Doppelganger
Acha uongo wewe,labda kama ni certificate au diploma za law ambazo kwa sasa kazi kubwa ni ukarani...graduate ambaye ni magistrate, state attorney na kuendelea wanakunja kuanzia 7k na kuendelea.

Muongo ni wewe unayeishi nchi ya kufikirika. gango2 yuko sahihi kabisa. Niko serikalini kwa takriban miaka 32 sasa na nina degree ya ICT. Hakuna anayeanza na 1.5m, na hata waliofanya kazi muda mrefu kama mimi bado hatujafikia hiyo 1.5m. Labda taasisi binafsi, NGO, Agency zinazojitegemea etc. Karibu Serikalini ujionee mwenyewe.

Acha kukurupuka pimbi wewe, soma post yangu kwa umakini ujue nime-comment particularly kwenye sector gani...!

Eti uko serikalini miaka 32, basi wewe ni kilaza, jinga na puuzi la mwisho kushindwa kuwa promoted kwa muda wote huo halafu bado unajisifu kwa upumbafu wako.

Nyinyi ndio mliobebwa-bebwa kazini...jifunze kusoma,tafakari na pitia mara mbili mbili kabla hujadandia yasiyokuhusu.
 
Habari zenu!

Kuna rafiki yangu, mmoja hana kazi, bado anatafuta, lakini anajitapa hawezi chukua kazi chini ya m1.5 especially ikiwa ya mkoa. Je ni kweli?? Serekalini unalipwa mishahara kama hii? Ikiwa ndo kwanza umetoka chuo? Kwa sababu navyojua mimi, mtu humchukua hata miaka 5. Kuja kulipwa mshahara wa hvyo.

Hiyo labda serkali ya baba yake sio ya baba Rizi moja
 
1.7 before tax au vijana msjidanganye na kuges aliyekudanganya mwambie akalale...kuna mashrka mengi yanalpa vzur bt fresh graduate yeyote kwa taasisi / mashrka ya uma maxmum ni 1.5 kwa mwez ts beter mkafanya kaz ata halmashaur au taasisi yeyote ili upate cv ata ya 3yrs uingie government ukiwa na uzoefu wa 3yrs upate ata 1.8 bt ukikaa dar usubr 1.7 utafka mahali unatafta mshahara wa laki 3 unakosa ata taasisi za mikopo zinaangalia miaka kazn I.e lazma uwe umethibtshwa kazn na kuthbtshwa ni baada ya 1year kama huna nidhamu unasubir 2 to 3yrs kwa mashrka ya umma..sasa wewe baki dar uksubr 1.7 m uishie kufa maskini ....vijana waliomalza chuo wakaenda mikoani mapema dn afta 3 au to 5 yrs kurud dar wanakua na mafanikio sana cz baadhi wanaobak dar wanakula bata dn wakapata salary ya 1m wanaangalia future
mkuu nashukuru sana kwa maelezo.je waweza jua viwango vya mshahara wafanyakazi wa TPDC wanavyolipwa?mfano..kuna kazi mmoja nime apply chini pale wamendika will be paid a salary according to salary scheme ya TPDC-RS1.?hii ni kama shingapi?
 
Back
Top Bottom