Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake katika nyumba walioishi pamoja.

View attachment 2250201
Ngoja niwatafue ma ex wangu nione wataninunulia nini.
Utaambulia matusi toka kwa ma X wako,wazungu pia wana malimbwata yao
 
Hiyo pesa ya kumnunulia sawadi dia ex 😂😂😂😂..ngoja nisije kufuru
 
Back
Top Bottom