mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 17,056
- 52,788
Nimekua nikiangalia sana muvi na kizungu na nimeona sehemu nyingi mtu anajitoa kufa kwa ajili ya anayempenda(kupigwa risasi badala ya mwingine n.k)
Sasa natafakari sipati majibu kwasababu tunajua kwamba binadamu unaishi mara moja tu, hivo hamna cha muhimu zaidi ya uhai wako binafsi.....
Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi
Tuambizane je uko tayari kufa kwa ajili ya umpendae? Sio lazima mpenzi, hata wazazi, ndugu au marafiki wa karibu....