Unaweza kuajiriwa Jeshi la Polisi ukiwa na miaka 33?

Wakati mwingine maadui wetu ndio wale tunaowaita ni marafiki, was it necessary kueleza hili hapa?
hiyo ni motivation kwa wengine tuu mkuu kwani katajwa jina mtu hapa au unazani alienda pekeyake kwa namna hiyo,tunatiana moyo tuu humu watu wajue nao wanaweza wakafika huko
 
Ukiwa na elimu kubwa kama masters / phd unaweza kwenda,

Kikomo cha kujiunga jeshini kinategemea na elimu yako, kadri unavyokuwa na elimu kubwa na kikomo kinaongezeka.

mfano form 4 mwisho 23

LAKINI !!

Unahitaji connection, kwa elimu ya masters / phd watahofia unaenda kupora ugali wa mtu ama kupanda vyeo haraka kwasababu polisi wengi wana elimu za kawaida, kwahio huwa wanawabana maksudi wenye elimu kubwa, ukienda kivyako tegemea uambiwe ushakuwa mzee
 
Back
Top Bottom