Unaweza kuajiriwa Jeshi la Polisi ukiwa na miaka 33?

Ukiwa na elimu kubwa kama masters / phd unaweza kwenda,

Kikomo cha kujiunga jeshini kinategemea na elimu yako, kadri unavyokuwa na elimu kubwa na kikomo kinaongezeka.

mfano form 4 mwisho 23

LAKINI !!

Unahitaji connection, kwa elimu ya masters / phd watahofia unaenda kupora ugali wa mtu ama kupanda vyeo haraka kwasababu polisi wengi wana elimu za kawaida, kwahio huwa wanawabana maksudi wenye elimu kubwa, ukienda kivyako tegemea uambiwe ushakuwa mzee
 
Jamani ivi kijana mwenye 33 hawezi ajiriwa kama Askari?

kwani mlivyosoma vigezo vya kujiunga jeshi la polisi vinasemaje kuhusu umri???

Kama yupo above 30 na jeshi linataka below 30 tiyali automatically ameshapoteza vigezo na kama kuna mtu amewaambia atawasaidia huyo anawadanganya atakula hela zenu ........

Mwisho kabisa mtu mwenye miaka 33 huyo anatambulika kama mzee kwa mujibu wa jeshi vijana ni wale kuanzia miaka 18 hadi 24

Ushauli wangu kwa huo umri akomae kujiajiri tuu mapema kabla ya jua halijaza akiwa 40 years bado hajajua nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom