Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Nilichukua Namba zenu zote, na niliweza kuwa tafuta lakini mlikuwa mnapiga Chenga tuu, sio tupo polini tunachimba Mara sijui baadae, yani imekuwa sarakasi mtindo mmoja..
H


Tusamehe kwa hilo. Kuna muda fulani tupo shamba na kuna muda tunakuwa chimbo, kuna muda tulikuwa tunahama Dar mjini na mambo memgi yameingiliana.

Unaweza kutupigia 0769302206 (yangu) au 0625249605 (mume wangu).

Pole kwa usumbufu.
 
hakuna kitu kama hicho,tuliotumia haikuonyesha mabadiliko yeyote na hakuna hata mtu mmoja aliyerudisha majibu yenye matumaini.LOLIONDO


Ni sisi pekee ambae tulisema wazi kwa kila ambae haijamfaa tiba hii asilia aje arudishe pesa zake.

Hii ni tiba asilia na hatujaongeza wala kupunguza kitu na wengi sana imewasaidia. Kama haikukusaidia tunakurudishia pesa zako "Money back guarentee, no question asked".

Tuone tukurudishie pesa. Wala usiwe na shaka kwa hilo.
 
Dk, Kigwangala si yupo jamani?
Atashughulikia tu hii ishu!

Umeshawahi kusikia makabila yanashughulikiwa kwa kutumia udongo asilia kama vile Wamasai na wengineo? Mbona huu udongo wetu unajulikana historically umeanza kutumiwa na akina Cleopatra, ni hapa kwetu tu ulikuwa haujagunduliwa kuwa upo na tunashukuru kuwa sisi ni "pioneers" kwa Tanzania. Naomba usome hapa chini...

Cleopatra attracted – and commanded – the most powerful men. And in a world dominated by kings, generals and emperors, this was especially impressive.

The Roman historian Cassius Dio captured this feeling:

“For she was a woman of surpassing beauty... brilliant to look upon and to listen to, with the power to subjugate everyone, even a love-sated man already past his prime...”1

Cleopatra’s gaze brought even the most worldly and experienced men under her spell.

But what was her secret?

We already know Cleopatra was one of the most legendary beauties in recorded history. But just being beautiful doesn’t mean you have the charm and charisma to go with it.


So what made her so attractive?

Pitia hapa kupata jibu: Did Cleopatra Have a Beauty Secret?
 
Tiba asili sio dawa?! Haya mbapatikana wp na utoe maelekezo ya matumizi maana nitatuma mtu kununua

Yetu sio dawa kabisa. Ni udongo natural kama ule wa Wamasai wanaojipaka kwenye nywele na mwilini, ingawa huu wetu ni tofauti sana na ule.

Tupigie, kuna watu wanao sehemu nyingi. 0769302206
 
mtuwekeage video za before na after picha zinadanganya sana maana zinabadili sura kimo mpaka umbile la mtu
 
Tusamehe kwa hilo. Kuna muda fulani tupo shamba na kuna muda tunakuwa chimbo, kuna muda tulikuwa tunahama Dar mjini na mambo memgi yameingiliana.

Unaweza kutupigia 0769302206 (yangu) au 0625249605 (mume wangu).

Pole kwa usumbufu.
Mimi nywele zangu zinawasha sana, hivyo inanibidi kunyoa kipara kila wakati. kwa ujumla ni kwamba siwezi kukaa na nywele hii tiba yako itanifaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom