Dodoma: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu nyingi.

Udongo huo wa asili ni wa hapa Tanzania, hauna madhara mwilini, umekuwa ukitumika na baadhi ya makabila ya Tanzania kwa miaka na miaka kulinda na kufanya ngozi zao ziwe za kuvutia.

Udongo sasa tumeweza, kuusaga kuwa kama poda na kuuchuja michanga na unaweza kuupaka kiurahisi zaidi kwenye ngozi baada ya kuuchanganya na maji.

Matumizi

Scrubbing, unaweza kujipaka usoni na au mwililini baada ya kuukoroga na maji safi na kuuwacha ukauke mwilini au usoni na kufanya scrubbing kama kawaida.

Masking, unaweza kujipaka usoni au mwilini baada ya kuukoroga na maji safi na ukauacha kama mask na baada kuuosha.

Face Wash, unaweza kuutumia kama face wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za usoni na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona uso unavyokuwa laini na mvuto.

Body Wash, unaweza kuutumia kama body wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za mwilini na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona ngozi inavyokuwa laini na mvuto.

Massage, unaweza kutumia kwa kufanyia massage mwilini, udongo ni laini na unatelezza kama sabuni baada ya kuuchanganya na maji safi, faida za kufanyia massage ni utavipata vyote hivyo juu.

Sun Protection, unaweza kuutumia kama sun protection kwa wale wale wanaofanya kazi za juani kwa muda mrefu, unachanganya na maji safi unajipaka na baada ya shughuli zako unanawa tu, inasaidia kulinada ngozi ya ko na jua, vumbi, na kuifanya iwe mororo na yenye nguvu.

Udongo huu ni mzuri sana na huwezi kuusifia zaidi mpaka uutumie.

Wanawake na wanaume wanaojali ngozi zao na muonekano wao wanaweza kutumia udongo huu. Na wale wenye tatizo lolote la ngozi hili ndiyo suluhisho asili "natural", hakuna mbadala.
 
ClayMask.jpg


What is it?
An ancient remedy, used as a detoxifier for centuries for a number of different ailments (More info).
It's a very fine powder, derived from volcanic ash.

A number of high end spa brands actually use this as a base for treatment masks in their facials.

Now in Tanzania at affordable prices.

About the Product


  • World's most powerful facial
  • Deep pore cleaning
  • 100% natural clay
  • Does not contain: Additives, fragrances, animal products

Be proud, its a product of Tanzania. 100% Natural.

Hii bidhaa ni kama ndoto na nzuri hata kwa wenye allergy ambao hawawezi kutumia masks na kufanya facials kwa dawa zenye kemikali.

Pitia hapa kwa maelezo zaidi:
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/793264-kwa-wanaume-na-wanawake-udongo-natural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html
 
Na sasa kwa mara ya kwanza Tanzania unaweza ku "afford" luxury ya "mud bath" nyumbani kwako.

Mud Bath ni njia moja ya kutoa sumu za mwilini na kuufanya mwili uwe morororo na kujisikia mchangamfu sana kila unapoifanya. Tatizo kubwaa lilikwa ni gharama zake. Wenezetu nje hutumia mpaka dollar 200 kwa kufanya mud bath kwenye maspaa.

Tanzania tumejaaliwa neema ya kuweza ku afford bath kama bure. Jaribu.

Unachukuwa pakti moja ya udongo wetu, siku moja kwa wiki, ambayo unataka ku relax, unatia kwenye maji bakuli moja (kama nusu kita maji), unauacha kwa muda wa saa moja ujichanganye wenyewe kisha unautazama uzito wake, (uwe kama kwenye picha), unajisiriba mwili mima (kama kwenye picha, usiache sehemu, uso na kila mahala.

Matokeo yake ni ya ajabu, uchovu wote huondoka mwilini, unajisikia fresh sana na ngozi inakuwa nyororo na vipele vipele vyote vinaondoka.

Jisomee:

Introduction of Mud Baths

Mud bath is a detox therapy, which has become extremely popular around the globe. Until rather recently, many European practitioners promoted mud baths as a treatment for arthritis. This back to the basics, relatively simplest of alternative therapies, tends to help relax muscles, soothe aches, improve blood circulation and smoothen the skin. With today's emerging trends mud baths are often recommended to help reduce stress and leave us feel rejuvenated at the end of the session.

bodywrapnew.gif

Skin and Detoxification

Conscious detoxing is a great way to achieve optimum health. The best ways to detox is through the skin. Detoxification is one of the most effective methods to eliminate toxic substances that build up throughout our system. The toxins present in the environment constantly attack the body. These toxins get accumulated in the body's fat layers. Accumulation of toxins in the body cause harm to the biological processes. Hence, it becomes essential to remove the toxins regularly from the body otherwise; a high toxin load may cause skin problem, frequent or recurring colds, chronic pains, low energy levels, allergies and other illness.

The skin is the largest breathing human organ. Keeping the skin healthy promotes general health and well being. Taking a hot bath or sauna promotes sweating that flushes the toxins away from the body. Mud baths draw out the toxins and impurities from the body, exfoliating and nourishing the skin.

Read more: Mud Baths Mud Baths
 
Mwenye tatizo kama hili, sasa ndiyo kikomo:



Aunt Zainab's Natural Super Clay imewasaidia wengi sana kuondokana na tatizo la vipele na chunusi za ndevu.

Jivunie bidhaa asili ya Tanzania.
 
Kwa wateja wetu wapenzi, habari mpya tulizozipata siku mbili tatu nyuma za Aunt Zainab's Natural Super Clay:

Moto
Kutibu unapoungua na toto, uwe moto wa moja kwa moja au maji ya moto au mafuta ya moto.

1) Mteja wetu mmoja wetu aliunguliwa na mfanya kazi wake kwa maji ya moto mgongoni, ametueleza kuwa akakumbuka ana udongo wa Aunt Zainab alikuwa ameshaukoroga kwa matumizi yake, akawahi kumpaka mfanya kazi wake pale alipongua, na kilichofatia anasema ni "ajabu" na alipoungua hata lengelenge halikutoka na lilishaanza.

2) Mteja mwingine anasema "aliletewa mtoto wa ndugu yake kaunguwa jana, na na mtoto kakoboka ngozi pajani na makalioni pamekuwa pekundu kabisa, nyama inaonekana" anendelea kusema, akakumbuka ana udngo wa Aunt Zainab, akmpaka yule mtoto wa nduguye ansema baada ya dakika kama 30 mtoto akapatwa na usingizi, alipoamka kidonga kimefanya kigaga kama ambacho cha siku nyingi. Anasema "nipo tayari kutoa ushuda hata kanisani, huu udongo nimeuamini ni dawa ya moto ambayo haijawahi kutokea".

3) Mimi binfasi baada ya kusikia habari hizo juzi nilkuwa napika maandazi, mafuta ya moto yakanimwagikia mkononi, nikawahi kujipaka udongo, ajabu ni kuwa sijatoka lengelenge wala kidonda na maumivu yalikata hapo hapo baada ya kujipaka huu udongo.

Watejawote hao wawili wamesema wapo tayari kutoa ushuhuda na kumuelea mtu yeyote kisa kizima wakati wowote. Kwa atae hitaji namba za kuwasiliana nao anitumie pm.

Jamani, mimi binafsi nilipoanza kuuza huu udongo sikujua kabisa kama pia utakuwa ni dawa ya moto lakini sasa ninadiriki kuuuza pia kama dawa ya moto.

Pia kuna wale walioungua na madawa ya "kujikoroga" wengi wanasema udongo unawasaidia sana na wanarudi katika hali yao ya zamani (kabla ya kuungua kwa madawa). Kutibu watu walioungua kwa madawa ya kujibuchua, kunachukua muda kidogo, inategemea na athari iliyopo, lakini matokeo ni mazuri sana.

Asanteni,

Aunt Zainab.
 
Hii habari ya kupakaa udongo kwenye kidonda cha moto kilicho wazi ndio source ya infection.

Sidhani kama inashauriwa kitaalamu.

Kila la kheri na biashara hii, umevumbua chimbo
Kwa wateja wetu wapenzi, habari mpya tulizozipata siku mbili tatu nyuma za Aunt Zainab's Natural Super Clay:

Moto
Kutibu unapoungua na toto, uwe moto wa moja kwa moja au maji ya moto au mafuta ya moto.


2) Mteja mwingine anasema "aliletewa mtoto wa ndugu yake kaunguwa jana, na na mtoto kakoboka ngozi pajani na makalioni pamekuwa pekundu kabisa, nyama inaonekana" anendelea kusema, akakumbuka ana udngo wa Aunt Zainab, akmpaka yule mtoto wa nduguye ansema baada ya dakika kama 30 mtoto akapatwa na usingizi, alipoamka kidonga kimefanya kigaga kama ambacho cha siku nyingi. Anasema "nipo tayari kutoa ushuda hata kanisani, huu udongo nimeuamini ni dawa ya moto ambayo haijawahi kutokea".
.

Asanteni,

Aunt Zainab.
 
Hii habari ya kupakaa udongo kwenye kidonda cha moto kilicho wazi ndio source ya infection.

Sidhani kama inashauriwa kitaalamu.

Kila la kheri na biashara hii, umevumbua chimbo


Huu udongo "Montmorillonite" unaondoa infection kwa haraka sana, tena huu wa Tanzania umetushangaza sana:

Mpigie huyu aliyeutumia na kutujulisha kwa mara ya kwanza kuhusu kuupaka kwenye kidonda cha moto: 0713484578 Mziray. Sisi tulikuwa hatujui na tukashangaa sana.

Naomba pitia hapa usome kuhusu huu udongo, si kitu kipya duniani bali tunafuraha kuwa tumeivumbua kwetu Tanzania na ni mzuri sana kuliko wa nje, kutokana na walioutumia.

Dua yako iwe ya kheri uwe ni chimbo lenye manufaa kwa watumiaji na sio kwangu tu.

The use of medicinal clay in folk medicine goes back to prehistoric times. Indigenous peoples around the world still use clay widely, which is related to geophagy. The first recorded use of medicinal clay goes back to ancient Mesopotamia.

Medicinal clay - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Jisomee zaidi matumizi ya huu udongo:

So What's The Rave About: Aunt Zainab's Natural Super Clay




Ok..I can't say enough about this magic clay! I absolutely love all of the uses and benefits that it offers; from hair to skin to internal health, it is absolutely O' MAZING. I'm finding that so many O'Naturals are falling more and more in love with this powdery goodness. Before I get into the uses, let me first key you in on the wonderful benefits of Aunt Zainab's Natural Super Clay .


Benefits Aunt Zainab's Natural Super Clay :







Aunt Zainab's Natural Super Clay and Hair:
Ok..I must say, I absolutely love Bentonite Clay treatments..they make my hair feel absolutely wonderful. So here are some wonderful ways to use Bentonite Clay when you want to remove product buildup, impart sheen and enhance curl pattern.


  • The treatment should be done on unwashed slightly damp hair. This is an alternative to using a clarifying shampoo, so use it as often as you like when you feel the need to remove any product, mineral or chemical buildup.
  • Mix Bentonite Clay, Apple Cider Vinegar and Aloe Vera Juice or Gel and combine to a pudding like consistency in a non metal bowl and use a non metal utensil. (the amount varies per person depending on the thickness of your hair). I never measure, I just make enough for 1 application for my hair. For an aromatic experience, you can add a few drops of your favorite essential oil (lavender, peppermint, lemongrass, etc)
  • Be sure to add the mixture to your hair in sections, and thoroughly work it throughout the hair (from root to tip).
  • Let the mixture sit on the hair for 20-25 minutes making sure that the clay does not dry on the hair.
  • Thoroughly rinse the mixture out using cool water.
  • Be sure to follow up with a deep condition to restore moisture back into the hair.Rinse, rinse, and let your final rinse be using ACV and cool water. Use a leave in. Seal. Style..And Voila!

The Results : ( I went ahead and applied the clay for my mask as well)
Aunt Zainab's Natural Super Clay and Skin:


  • TheAunt Zainab's Natural Super Clay Detox Mask: Mix 2 TBSP of Bentonite Clay to 4 TBSP of sour cream. Be sure to mix in a non metal bowl and use a non metal utensil.
  • Apply mixture to freshly washed face. Massage in for about 2-3 minutes.
  • Allow Mixture to dry thoroughly (about 20-25 min) then wipe clean with a damp cloth.
  • Follow up with a cool water rinse (to close pores)
  • Tone. Moisturize.
  • Aunt Zainab's Natural Super Clay removes toxins and excess oil from the skin. The Sour Cream helps to fade blemishes and acts as a low grade chemical peel.
  • Instead of the sour cream, you can use Apple Cider Vinegar.
  • Aunt Zainab's Natural Super Clay makes a great body wrap, removing toxins from the entire body.

where to buy: Aunt Zainab's Natural Super Clay

Note: we have replaced all where it says "Bentonite" to
Aunt Zainab's Natural Super Clay as it is superior.

Source: http://allthingsonatural.blogspot.co...nite-clay.html
 
Hii habari ya kupakaa udongo kwenye kidonda cha moto kilicho wazi ndio source ya infection.

Sidhani kama inashauriwa kitaalamu.

Kila la kheri na biashara hii, umevumbua chimbo

[h=3]Burns[/h]I bought this clay for internal use, but recently burned my hand horribly (and stupidly) on a cast iron pan I'd just pulled out of the oven under the broiler. I ran in under water and it still burned for hours, I tried burn ointment and it didn't help. Then I remembered the clay, I made a pack (1/2 clay 1/2 water) covered it with plastic wrap and left it on for two hours. It was amazing in that the clay became HOT on the outside. The pain was gone. The next day my hand look like it have been badly burned at least a week or two ago. By the end of the week the burn looked months old (I only used the clay once) and within 2 weeks you'd never knew I burned myself. It is nothing short of a miracle (and I don't say that lightly)!

Ukiifata hii link niliyoiweka chini hapa utaona matumizi mengi sana ya manufaa ya huu udongo, na ninakuhahakishia huu wetu wa Tanzania ni bora zaidi: https://earthslivingclay.com/testimonials/

Usikose kuwa nao nyumbani.

where to buy: Aunt Zainab's Natural Super Clay
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Pitia hii link kujionea mwenyewe: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...uper-clay.html
 
Watu wa Iringa, sasa mnaweza kuipata Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa Janet namba 0714757197
 
Back
Top Bottom