Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Atuonyeshe hata picha za mwanae basi tuone maendeleo...Ila nimempenda aliposema unaweza kutumia kwanza ndo ukamlipa au ukitumia bila kupata matokeo unarudishiwa pesa yako..Swali linakuja hiyo dawa haina side effects..Usije ukatumia ndo ukakipalilia kipara zaidi

Nimeambiwa nikileta mrejesho mie mwenyewe nitakuwa "biased", nachelea kufanya hivyo kwa sasa.

Kuhusu side sffects, nakuomba uusome uliopo duniani: Bentonite Clay Benefits • A Little Dirt Won't Hurt
 
A little information about Bentonite Clay:

Bentonite is known for its highly absorptive properties and its ability to draw out and bind heavy metals, drugs and other toxins from the body. This clay has been used for thousands of years as both an internal and external purification aid.
Bentonite is one of the volcanic ashes. It is not a drug or chemical composition made in a laboratory. It is a product of Mother Earth. Bentonite in ages past was blown into the sky by volcanic action, which sifted down to help impregnate the soil with its 25 to 35 trace minerals. Bentonite, under a high-power microscope, is seen as extremely minute rectangular particles, similar in shape to a business card. When hydrated, it generates and maintains a very strong electromagnetic field, which allows it to attract and hold unwanted , non-nutritive substances such as pesticides and other toxins so that they can be eliminated from the body.

Source: Who has tried the bentonite clay baths? Effectiveness at Clay Packs and Clay Baths Forums, topic 1501084
 
Naona umekuja kwa mwendokasi...

Vipi mrejesho wa yeyote aliyeota nywele?
 
Imenibidi nicheke tu. Tiba hii ya asili ni nzuri sana kupita maelezo. Jionee duniani:

bentonite-clay-bath-300x212.jpg

people-take-a-mud-bath-at-ilicalar-district-of-turkeys-bingol-on-11-picture-id460704256
Hehehe..nyie watu dawa yenu huwa kiɓoko, ukiondoka wanasema weeee ukiingia tu wote kimya.
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761
Ningependa kufahamu ingredients za hiyo dawa na jinsi zinavyofanya kazi (mechanism of action)
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom