Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Dar es Salaam

Dar Home Delivery: Mzee Abdul = 0756803528

Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069

Ilala kwa Masai Kimako = Mwanahamisi Saloon 0718775220

Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi ya Makumbusho - 0757176678 / 078476678 / 071576678 / 0776154933

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack-
0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.

Sinza = Aunt Zainab - 0769302206

Tabata = Yusuph Mushi 0715488669

Zanzibar (Unguja)

Dr. S. Shafi 0754650480

Arusha

Mama Aida -0754445733

Dodoma

Rukia - 0653249898

Iringa -

Janet -
0714757197

Lindi

Nuru - 0717461575

Mbeya

Haule - 0756994850 na 0784658349

Mwanza

Mama Alex / Bonge 0768545736 na 0765072213

Morogoro

Lina Mafwere - 0754297319 Boma Road.

Tanga

Farouq - 0719190000

Hii Biashara itakuua kwa kasi Sana japo sijui bei gani nikipata hata 10,000 nitakutafuta. Nahitaji Sana Mimi ninatatizo kama Rooney.
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761
naomba namba zako nahitaji
 
Hii Biashara itakuua kwa kasi Sana japo sijui bei gani nikipata hata 10,000 nitakutafuta. Nahitaji Sana Mimi ninatatizo kama Rooney.

Hasbuna Allahu wa neema l'wakil.

Kwanini kuniombea kifo ndugu yangu. Nitakufa kwa majaaliwa ya Mwenyeezi Mungu na hakuna ataeishi milele.
 
Dawa yako inaweza kuwa nzuri ila kinachoogopesha watu wanaweza tumia na nywele zikaota ila sasa watakapoacha kuitumia nywele zitapotea tena na hii itawafanya wawe watumwa wa dawa zako sabu itabidi kwa gharama yeyote wanunue tu ili upara wao usionekane. Labda utueleze huyo mwanao hapo chini ni lini ameacha kutumia hiyo dawa kama ameshapona au ndo anaendelea kupaka kila siku!?

Mwanangu ameacha kutumia siku nyingi na hivi sasa anatumia wiki mara moja, mwenyewe anasema kumaintain.

Nijuavyo inabidi u maintain kama vule kutumia shampoo wiki mara moja.

Unaweza ku google montmorillonite healing clay ukaona matumizi yake mengi duniani.
 
Haya maelezo yanatia shaka sana.

Shaka na wasiwasi ni kawaida yetu binadamu na kwa hilo sina la kufanya zaidi ya kusema. Njoo ujaribu bure kama utahitaji, si kwa kipara tu, unasaidia chunusi, mapele ya kunyoa, kulainisha na kuondoa kabisa sugu za miguu, fangasi zote za miguu na kwenye ngozi. Na mengine mengi sana, ndio maana tunauita super clay.

Napenda ufahamu kuwa huu udingo upo duniani lakini wa kwetu Tanzania una ubora mkubwa sana kupita maelezo. Unaweza ku google montmorillonite healing clay, kujiondoa shaka kama itasaidia.
 
Mimi nimetumia, nimefika hadi nyumbani kwa Tamimu, ni UTAPELI MTAKATATIFU

Kama umefika kwetu na tiba yetu haikukusaidia unaweza kuja tukakurudishia pesa zako, sisi ndio wauzaji pekee wenye money back guarantee. Tunajivunia hilo.

Haina haja ya kuitana matapeli. Tutakuwa matapeli pale tu tutakapokataa kutimiza ahadi yetu ya money back guarantee kwa ambao haujawasaidia.

Naomba uelewe kuwa tumetoa hiyo guarantee kwa kuwa tunaelewa kwenye tiba hakuna 100% kuwa tiba aina fulani itatibu kila mmoja.

Hata tiba za mahospitali hazina 100% guarantee ya kukuponesha na unalipia fedha chungu nzima. Yetu ni tiba asili na bado tunatoa money back guarantee no questions asked. Huoni kuwa ni jambo la faraja hilo?
 
Huyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.

Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.

Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?

Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.

Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
shingi ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom