nashukuru kama litakusaidia.Somo limeniingia..
Hiyo transit itakuwa vipi? usafi je ? na maji yenyewe ya kununua kwene madumu ?
Haika asante kwa maelezo yako ya ziada.wanawake wote wenye watoto wanajua, mtoto lazima umuangalie kwa makini kinyesi chake.
huwa tunakisubiri kwa hamu sana kukiangalia kusaidia kurule out au kuthibitisha kuwa kuna tatizo. mara nyingine unaweza kumpeleka mtoto tu hospitali kwa sababu hujakielewa choo chake,
wengine huwakataza wafanyakazi kukitupa kabla hawajakiona hasa wakati unahisi mtoto anaumwa.
mie leo wanangu wakitaka kuniambia wanaumwa lazima wainclude katika maelezo yao mara ya mwisho kupoti, na ilikuwa aina gani. Na huyo mkubwa anajua tu kama anajisikia uchovu, hajapata bado, inabidi apate maji mwenyewe kwa wingi. Hata dawa (japo ni mpenzi) hataki mpaka maji yashindwe kazi.
nilivyo elewa hapa ni ukituwa mzigo some tymz unashuka 1 kwa 1 au unaelea, nini sababu Uporoto?Hizi herufi utazionaje kwenye choo cha kukaa!!!!
Mi naona siku nyingine ngoma zinazama na siku nyingine zinaelea
Any scientific reasons ?!!
Asante Mods kwa kurekebisha Title kuna watu walikwazika na sikujuwa namna ya kuibadili.