Unatoa haja kubwa ya aina gani ?

Na ukitoa mzigo kama ya ndafu/mbuzi yanakuwa kama mbegu mbegu au karanga?
 
mkuu itabidi mzigo uutuwe transit kwa special airport check kabla kufika destination. dah! yaani hii sredi hizi mida za launch ndio imepata mahubiri mengi. kweli wabongo launch tunakula jioni.
hihiiiiii... hiiiiiiihihihhihihiiiiiii

Yani leo nimecheka sana
 
Uporoto leo naona ameamua kuwa "mzee wa mavi"

Ngoja nikajitafutie poti!
 
sasa ndugu yangu uporoto... Leo imekuaje ukaja na sera za makimba??

Ulikata gogo asubuhi lakini?? lilikua na shepu gani?

khe khe kheheheeeee, hihihiiiiiiii :focus:
 
uporoto...

Niliposoma mimi uswazi magogo tulikua tunayakategoraiz kama
van damme --- lile gumu kubwa
bruce lee --- straight
**** yeung - irregula
tukutuku ---- ile ya kuhara
 
Uporoto leo naona ameamua kuwa "mzee wa mavi"

Ngoja nikajitafutie poti!
kuna kila dalili kwamba kamanda uporoto anataka kushift mtandao. halaf hii kinyesi kupewa grade hata mzumbe hawana hii sylabuss. yaani uporoto anaonekana ni professor wa vinyesi.
 
nitakuwa nakuja kila nikitaka kushusha zigo.
karibu sana ila uwe tayari kunisaidia mizigo ya aina nyingine lol!

sasa ndugu yangu uporoto... Leo imekuaje ukaja na sera za makimba??

Ulikata gogo asubuhi lakini?? lilikua na shepu gani?

khe khe kheheheeeee, hihihiiiiiiii :focus:
Nafata masharti kwahiyo mara nyingi ni 'S'.

kuna kila dalili kwamba kamanda uporoto anataka kushift mtandao. halaf hii kinyesi kupewa grade hata mzumbe hawana hii sylabuss. yaani uporoto anaonekana ni professor wa vinyesi.
Matatizo yanamfanya mtu kuwa 'profesa' hali ya usagaji/kinyesi ilikuwa mbaya nikafanya reseach Google.
 
nimecheka sana, jamani, hii inaweza kukaa pia kule kwenye jokes!!!
lakini on a serious note:
hata mie nilishawahi kusikia hio ushu, pia kuangalia size, kama nyembamba tofauti na kawaida, kuna uwezekano kuna kauvimbe kweny utumbo, kama nyeusi zaidi, inawezekana kuna bleeding tumboni, kama ni geenish unakula majani ya kutosha, kama kuna dalili ya makamasi una infection etc
 
Content excellent but title, kidogo inaukakasi, inataka moyo kuifungua! thanx
 
Content excellent but title, kidogo inaukakasi, inataka moyo kuifungua! thanx
Elli nilikuwa na tatizo hili kwa muda nikaona ni-share ufumbuzi wake,kuhusu title nimefanya makusudi ili watu wasome ningeweka 'aina za haja kubwa' isingepata wasomaji wengi,si umeona zile threads za 'usifungue' hupata watu wengi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom