Unataka kumjua anayekuibia mumeo? Mbinu hizi zitakufaa!

Hata mimi sioni kama charminglady una makosa..mada yako inajadilika. Japo mie ni mwanaume but still i can see some points in it.. Lakini nadhani cha kujiuliza ni kwamba ..Je? unapoanzsha uchunguzi wa kumjua huyo mkemwenzio unakuwa umeona 'clues' gani?..Kama kuna mazingira ambayo 'empirically' yanaashiria kuwa the guy is cheating probably inaweza ku'hold water'..But waswas wangu kama huo uchungzi unajianzshia tu ilmradi uone kitakachoendelea..inaweza kuku'cost' sana..

Kumbuka hata kama ni mumeo huyu ni binadamu anayo mambo yake ambayo yatabaki kuwa yake.. halikadhalika hata kama ni mkeo hupaswi kum'treat' kwa kiasi hicho..Nionavyo mimi kwa nafasi kubwa uchunguzi wa kiivi unaharibu kuliko kujenga.
 
Last edited by a moderator:
asante kwa wale ambao mnanielewa, kuna wengine hapa wanadhani nipo hivyo lakini nipo tofauti na mnavyofikiria... kuna ambayo nina-aply na kuna ambayo si-apply....

za kwako changanya na za mwenzio!!!!!
 
Charming lady!Every strong Relationship is build under TRUST,no need for going through all that.Communication is the key,just talk to your partner if you have any daughts,dont F.B.I. him.unless you wann break up coz you may find alot that doesn't make u happy.Dont let your jelous get the best of you and mislead your judgement.Listen to your HEART.
 
Na ndo maana ndoa za siku hazidimu kwa mambo hayahaya upekupeku tu, utamchunguza mwenzio hiali hata wewe hujatulia
 
kuna wanaume hizo zote ulizoandika hutampata isipokua ile ya chini...ukimfuatilia...hilo tuu..kuna watu hawapigiwi simu hakuna cha risit wala vyote ulivyoandika hapa na hata baa haendi kwa sababu unakuta sio mnywaji...kuna watu ma silent killer...
 
***** mtupu,kwa mtu makini kama mimi kama ninaamua kufanya mambo yale hakuna hata technique 1 inayoweza kunikamatisha,kwa mbinu hizi watanasa wazembeX2
 
Kuchunguana kuwepo kabla ya ndoa! Baada ya ndoa, ni ukurasa mwingine wenye kanuni nyingine. Utu uzima dawa wahenga walisema. Jelousy and Fear are deadly if allowed in any relationship! Seek and ye shall see!! Dont blame me!
 
Huku ni kutafuta ugonjwa wa moyo kwa mwanamke.Huna haja ya kufanya yote haya eti kisa unamfuatilia ili iweje sasa?Kama humuamini jipange katafute huyo anayeminika ambaye bado hajazaliwa.Mi nikijua tu unanifuatilia hivi naongeza na nyumba ndogo ya pili kabisaa
Kwa hiyo nyumba ndogo moja unayo tayari? Aisee!
 
Kwa kufanya yote hayo utakuwa unajenga mazingira ya kuharibu ndoa yako. Enzi hizo kwenye kabila letu wazee walikuwa wakisafiri kwenda mbali kwa siku kadhaa, (kwa miguu mpaka usafiri wa magari ulipoanza) walipokuwa wanarudi hawakwenda moja kwa moja nyumbani kwao. Walikaa mahali wakamtuma mtoto apeleke mikoba yao nyumbani ili mama ajue kuwa baba amesharudi na yuko karibu. Kwa kufanya hivyo ndoa zao zilidumu. Lakini kwa upuuzi uliouleza hapo juu, ndoa yako haiwezi kudumu hata mwaka.
 
kuna mazingira yatakayokusukuma umpeleleze mume/mpenzi.........
lakini kama huna ulazima ya nini ujitie presha.........
lakini wakati mwingine ukijiaminisha sana unaweza kuletewa bonge ya sapraizi hutasahau maishani mwako...
so kuchunguza kuwepo lakini kuwepo na sababu ya msingi na kusipitilize banaaaa

Mhh ila sasa ukijitia kuchunguza sana mwenzanguuuuuu,.......
 
asante mdau, lakini je umeisoma hii sentensi katika hii thread???

"hali zenu wadau wa Jf kuna hii nimekutana nayo naomba tuijadili"..........


Pole mama, naona watu wamekushukia kama nyuki.
Mwambie yule mwenye mbinu za F.B.I(nyumba kubwa) aje akusaidie.
 
Kwanza mtu mzima na akili zake haibiwi ila anajitoa. Pili nikishagundua kajitoa kwingine sina haja ya kumjua aliyejitoa kwake maana ni kujipotezea muda nikiwa najua fika kuwa haitonisaidia chochote.

Cha muhimu ni kufanya maamuzi yanayonifaa. . .hilo tu ndilo ntakalohangaika nalo.
 
hivi wanawake hatunaga kazi za kufanya? for god sake yaani nikaaanze kuchunguza sijui sim fb to hell.............kama sina kazi kabisa bora nioshe gari aisee kuliko haya. binafsi ni bora nikaenda kucheza mziki kuliko kumfuatilia mwanaume unless kama hujawah kutendewa aisee.

hebu humo majumbani bunini kazi leo panda ukoka kesho ng'oa panda mboga ili ukose muda wa kuwaza haya yanayovunja ndoa.

Tukiweka acting mbali, mie nikijiskia kuangalia simu ya mwenzangu naangalia kwa rah zangu. Tena wanaume ukiwauliza Kama wanaangaliaga simu zetu watabisha but in their hearts wanajua kabisa kuwa ukiwapa reason ya kuwa curious watakukagua kabisaa .

Kama una sababu za msingi za kuwa suspicious, kagua aisee. Utaletewa kifo hapo ili kiwatenge vizuri. Muache mum ague mke wangu sio mjinga, so even if I wanna fool her it really has to be worth it, otherwise I'm dead meat. That is the principle.

Dark City, wanawake waMinifu tupo, but the way you guys are messing us around mtatufundisha. Na si unajua ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii? Endeleeni tu, mtavuna kwa wakati(sio threat,lol)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom