Unataka kumjua anayekuibia mumeo? Mbinu hizi zitakufaa!

shida yote hiyo ya nini?

changu changu tu....

kamam naibiwa ipo siku nitagundua............ mziki nitakaocheza lazima yeye na demu wake wanyonyoke vinyoleo.....
 
Wanaume wanabonda mbinu zozote za kuchunguzwa kwa kuwa wana maslahi yao binafsi. Nashangaa kwa mwanamke kusema mi najiamini napendwa...Sasa kama unajiamini unapendwa na huko peke yako si ina maana hata ukichunguza hutapata kitu...Kimoyo moyo hakuna hata anayejiamini ni kwamba mmekubali matokeo na mnaogopa kugundua kwa kuwa hamna uwezo wa kuamua chochote hata mkijua.

Si wanatoa talaka rejea?
 
charminglady, kazi yote ya nini hiyo? Iko moja mjarabu sana kwa wanaume - Kama unataka kujua anayekuibia mkeo, mpe talaka - kwa hivyo na mwanawake anaetaka kuwajua anaemwibia mume awake, adai talaka mpaka mpaka waachike, haitapita siku mbili atamjua nani mbaya wake.
 
Last edited by a moderator:
Charminglady uko siko jifunze kumwamini mwenza wako huwa sitaki mapressure yeye hata kama akague simu yake sina mpango na yake.
 
Unaiweza kazi ya ushushu wewe??

Kama jamaa kamua utaweza kumfunga kamba kama kuku wa kienyeji??

Babu DC!!

Nimfunge Kamba wa nini sasa? Ila lama ague king'asti wangu ni mwanamke na nusu, hachezewi akili. Hata Kama namcheat sio zero grazing manake akijua ( na Ana akili Kama mbwa wa kova) ujue nimekwisha. Sio mwanaume anakuwa gums la mtaalamu mzima anakudhalilisha tu, mahausigelo , boss wake, kila kinachopita mbele yake yumo. Heshima lama iwepo, naangalia tu kwa rah zangu, sio kiprofesheni. Ila siku namtaftia sababu, namuwekea PI
 
hali zenu wadau wa Jf kuna hii nimekutana nayo naomba tuijadili..........

1. Ikague simu yake
Katika mazingira ya kawaida, haishauriwi kuikaguakagua simu ya mumeo kwani kufanya hivyo ni kuonesha jinsi usivyomuamini lakini unapohisi unaibiwa na hujui ni nani mwizi wako, unaweza kuanza kuikagua simu ya mpenzi wako kwa siri sana. Angalia simu zilizoingia na kutoka, meseji zilizotumwa na kuingia. Kama kuna mtu ambaye ana uhusiano naye, utagundua lakini tambua kwamba ni zoezi la muda mrefu na fanya hivyo bila mpenzi wako kugundua. Tumia muda anaokwenda kuoga, chooni na anapoisahau simu nyumbani, ipo siku utabaini siri nzito.

2. Ingia kwenye Facebook yake
Kama mumeo ni mtu wa facebook na unajua password yake, ingia mara kwa mara kwenye ukurasa wake. Kama ulikuwa hujui mtandao huo wa kijamii sasa hivi unatumiwa na wengi katika kuzisaliti ndoa zao. Waume za watu wanatumia njia hiyo kuwasiliana na vimada baada ya kubaini wakitumia simu ni rahisi kukamatwa. Kwa maana hiyo, tumia mbinu ya ushawishi kupata password yake na huko unaweza kumbaini mtu anayekuharibia.

3. Mfanyie ‘sapraizi’ kazini
Kama mumeo anafanya kazi, elewa kwamba wengi hutumia muda wa ‘lunch’ kuwa na wapenzi wao wa pembeni. Unaweza kumuibukia siku mojamoja kazini kwake au kwenda sehemu ambayo hupendelea kula chakula cha mchana.
Kwa mfano siku ya kwanza umemkuta yuko na demu, ukaondoka kisha siku nyingine ukawakuta tena pamoja, ukaondoka na siku nyingine tena ukawaona katika mazingira hayo, akili yako itakupa jibu. Hata hivyo, katika njia hii uwe makini kwani inawezekana huyo msichana ni mfanyakazi mwenzake ambaye hupendelea kwenda naye lunch tu na hakuna kingine cha zaidi.

4. Chunguza nguo zake unapozifua
Wakati unafua nguo zake, tumia muda mwingi kuzichunguza. Angalia kwenye waleti yake, unaweza kukutana na risiti zinazoonesha amenunua vitu vya kike ambavyo wewe hujaviona. Pia unaweza kukutana na vikaratasi vyenye namba za simu ambazo ukizipiga ni za mwanamke na ukimwambia wewe ni mke wa fulani, anakupa majibu ya kiwiziwizi. Pia kwenye nguo zake unaweza kubaini ‘lipstick’ nyekundu wakati wewe hutumii hiyo.

5. Muazime gari lake
Kama mpenzi wako analo gari, mshitukize kisha muombe gari lake uende sehemu. Kwa kumshitukiza atakuwa hajapata nafasi ya kulisafisha hivyo ukiwa nalo lichunguze kila sehemu. Unaweza kukutana na risiti, namba za simu au nguo na vitu vya kike ambavyo huvijui. Wapo ambao waliwahi kufanya hivyo na wamefanikiwa kubaini usaliti wanaofanyiwa.

6. Mshitukize baa
Yawezekana mumeo ni mnywaji wa pombe na umekuwa ukimpa uhuru wa kufanya hivyo bila kumfuatilia. Kama umebaini unasalitiwa na humjui anayekuibia penzi lako, siku moja muulize anakunywa pombe wapi, kwa kuwa amezoea huna tabia ya kumfuatilia, atakujibu. Siku hiyo mfuate, mwanamke utakayemkuta naye mnoti kisha ondoka bila mpenzi wako kujua. Siku nyingine, mbabatize tena akiwa baa na kama utamkuta na msichana yuleyule, basi mwekee alama na kwa uchunguzi ambao utaendelea nao, kuna siku utajua ukweli.

7. Mfuatilie
Hili nalo halishauriwi kulifanya kwani mpenzi wako akijua unamfuatilia, anaweza kukuacha kwani atajua humuamini na wengi hawapendi kuendelea kuishi na watu ambao hawawaamini. Ila sasa, ukishahisi unasalitiwa huna budi kufanya hivyo. Tumia watu kufuatilia nyendo zake kila anapokwenda na haitachukua siku nyingi utajua huyo mpenzi wako anakusaliti na mtu gani.

Kwa kifupi ni kwamba, unastahili kuwa na mtu muaminifu, anayekujali na kukupenda kwa dhati. Unapohisi mumeo si muaminifu, usikimbilie kuomba talaka au kuja juu kama moto wa kifuu bila kuwa na ushahidi. Tumia mbinu hizo hapo juu kutafuta ushahidi wa kile unachokihisi na mwishowe utafanya uamuzi sahihi.

POLENI KWA KUWACHOSHA ILA NI NJIA YA KUJIFUNZA........
Umeandika kama yako vile lakini nimeambiwa kuwa umeitoa kwenye magazeti ya Shigongo, je ni kweli?
 
Njia zote ni sahihi. Ila zinamfaa ambaye amefikia mwisho wa uhusiano wao.Umvizie kazini?Upekue simu yake...?Unataka presha za bure tu...
 
ni kweli kabisa Simba Mkali, tena hapo awali kabisa nimeandika "hii nimekutana nayo naomba tujadili" je hujaona hapo mwanzo wa thread?
 
Last edited by a moderator:
MwanaMke aliyeolewa hawezi kutoa ushauri wa aina hii!
naona unatamani kutengeneza mashangingi wengine waingie mtaani!
waMAMA wote waliopitia uzi huu ukifanya haya uwetayari umeshajiandalia
makazi mapyaaaaaaaaa!

hali zenu wadau wa Jf kuna hii nimekutana nayo naomba tuijadili..........

1. Ikague simu yake
Katika mazingira ya kawaida, haishauriwi kuikaguakagua simu ya mumeo kwani kufanya hivyo ni kuonesha jinsi usivyomuamini lakini unapohisi unaibiwa na hujui ni nani mwizi wako, unaweza kuanza kuikagua simu ya mpenzi wako kwa siri sana. Angalia simu zilizoingia na kutoka, meseji zilizotumwa na kuingia. Kama kuna mtu ambaye ana uhusiano naye, utagundua lakini tambua kwamba ni zoezi la muda mrefu na fanya hivyo bila mpenzi wako kugundua. Tumia muda anaokwenda kuoga, chooni na anapoisahau simu nyumbani, ipo siku utabaini siri nzito.

2. Ingia kwenye Facebook yake
Kama mumeo ni mtu wa facebook na unajua password yake, ingia mara kwa mara kwenye ukurasa wake. Kama ulikuwa hujui mtandao huo wa kijamii sasa hivi unatumiwa na wengi katika kuzisaliti ndoa zao. Waume za watu wanatumia njia hiyo kuwasiliana na vimada baada ya kubaini wakitumia simu ni rahisi kukamatwa. Kwa maana hiyo, tumia mbinu ya ushawishi kupata password yake na huko unaweza kumbaini mtu anayekuharibia.

3. Mfanyie ‘sapraizi’ kazini
Kama mumeo anafanya kazi, elewa kwamba wengi hutumia muda wa ‘lunch’ kuwa na wapenzi wao wa pembeni. Unaweza kumuibukia siku mojamoja kazini kwake au kwenda sehemu ambayo hupendelea kula chakula cha mchana.
Kwa mfano siku ya kwanza umemkuta yuko na demu, ukaondoka kisha siku nyingine ukawakuta tena pamoja, ukaondoka na siku nyingine tena ukawaona katika mazingira hayo, akili yako itakupa jibu. Hata hivyo, katika njia hii uwe makini kwani inawezekana huyo msichana ni mfanyakazi mwenzake ambaye hupendelea kwenda naye lunch tu na hakuna kingine cha zaidi.

4. Chunguza nguo zake unapozifua
Wakati unafua nguo zake, tumia muda mwingi kuzichunguza. Angalia kwenye waleti yake, unaweza kukutana na risiti zinazoonesha amenunua vitu vya kike ambavyo wewe hujaviona. Pia unaweza kukutana na vikaratasi vyenye namba za simu ambazo ukizipiga ni za mwanamke na ukimwambia wewe ni mke wa fulani, anakupa majibu ya kiwiziwizi. Pia kwenye nguo zake unaweza kubaini ‘lipstick’ nyekundu wakati wewe hutumii hiyo.

5. Muazime gari lake
Kama mpenzi wako analo gari, mshitukize kisha muombe gari lake uende sehemu. Kwa kumshitukiza atakuwa hajapata nafasi ya kulisafisha hivyo ukiwa nalo lichunguze kila sehemu. Unaweza kukutana na risiti, namba za simu au nguo na vitu vya kike ambavyo huvijui. Wapo ambao waliwahi kufanya hivyo na wamefanikiwa kubaini usaliti wanaofanyiwa.

6. Mshitukize baa
Yawezekana mumeo ni mnywaji wa pombe na umekuwa ukimpa uhuru wa kufanya hivyo bila kumfuatilia. Kama umebaini unasalitiwa na humjui anayekuibia penzi lako, siku moja muulize anakunywa pombe wapi, kwa kuwa amezoea huna tabia ya kumfuatilia, atakujibu. Siku hiyo mfuate, mwanamke utakayemkuta naye mnoti kisha ondoka bila mpenzi wako kujua. Siku nyingine, mbabatize tena akiwa baa na kama utamkuta na msichana yuleyule, basi mwekee alama na kwa uchunguzi ambao utaendelea nao, kuna siku utajua ukweli.

7. Mfuatilie
Hili nalo halishauriwi kulifanya kwani mpenzi wako akijua unamfuatilia, anaweza kukuacha kwani atajua humuamini na wengi hawapendi kuendelea kuishi na watu ambao hawawaamini. Ila sasa, ukishahisi unasalitiwa huna budi kufanya hivyo. Tumia watu kufuatilia nyendo zake kila anapokwenda na haitachukua siku nyingi utajua huyo mpenzi wako anakusaliti na mtu gani.

Kwa kifupi ni kwamba, unastahili kuwa na mtu muaminifu, anayekujali na kukupenda kwa dhati. Unapohisi mumeo si muaminifu, usikimbilie kuomba talaka au kuja juu kama moto wa kifuu bila kuwa na ushahidi. Tumia mbinu hizo hapo juu kutafuta ushahidi wa kile unachokihisi na mwishowe utafanya uamuzi sahihi.

POLENI KWA KUWACHOSHA ILA NI NJIA YA KUJIFUNZA........
 
Ahsante kwa Somo, Wife simu/faceboo account yangu ataisikia kwa Bomba tu
 
Nimfunge Kamba wa nini sasa? Ila lama ague king'asti wangu ni mwanamke na nusu, hachezewi akili. Hata Kama namcheat sio zero grazing manake akijua ( na Ana akili Kama mbwa wa kova) ujue nimekwisha. Sio mwanaume anakuwa gums la mtaalamu mzima anakudhalilisha tu, mahausigelo , boss wake, kila kinachopita mbele yake yumo. Heshima lama iwepo, naangalia tu kwa rah zangu, sio kiprofesheni. Ila siku namtaftia sababu, namuwekea PI

Huyo ndiye nani [MENTION]King'ast[/MENTION]??

Babu DC!!
 
Khaa!Maisha yenyewe ya sayari gani kujipa vidonda tumbo na msukumo wa juu wa damu pasipo malipo.....hapa hapa duniani au pengine?.....haya then ukishamjua mwizi wako ndio iweje sasa????...
 
hali zenu wadau wa jf kuna hii nimekutana nayo naomba tuijadili..........

1. Ikague simu yake
katika mazingira ya kawaida, haishauriwi kuikaguakagua simu ya mumeo kwani kufanya hivyo ni kuonesha jinsi usivyomuamini lakini unapohisi unaibiwa na hujui ni nani mwizi wako, unaweza kuanza kuikagua simu ya mpenzi wako kwa siri sana. Angalia simu zilizoingia na kutoka, meseji zilizotumwa na kuingia. Kama kuna mtu ambaye ana uhusiano naye, utagundua lakini tambua kwamba ni zoezi la muda mrefu na fanya hivyo bila mpenzi wako kugundua. Tumia muda anaokwenda kuoga, chooni na anapoisahau simu nyumbani, ipo siku utabaini siri nzito.

2. Ingia kwenye facebook yake
kama mumeo ni mtu wa facebook na unajua password yake, ingia mara kwa mara kwenye ukurasa wake. Kama ulikuwa hujui mtandao huo wa kijamii sasa hivi unatumiwa na wengi katika kuzisaliti ndoa zao. Waume za watu wanatumia njia hiyo kuwasiliana na vimada baada ya kubaini wakitumia simu ni rahisi kukamatwa. Kwa maana hiyo, tumia mbinu ya ushawishi kupata password yake na huko unaweza kumbaini mtu anayekuharibia.

3. Mfanyie ‘sapraizi’ kazini
kama mumeo anafanya kazi, elewa kwamba wengi hutumia muda wa ‘lunch’ kuwa na wapenzi wao wa pembeni. Unaweza kumuibukia siku mojamoja kazini kwake au kwenda sehemu ambayo hupendelea kula chakula cha mchana.
Kwa mfano siku ya kwanza umemkuta yuko na demu, ukaondoka kisha siku nyingine ukawakuta tena pamoja, ukaondoka na siku nyingine tena ukawaona katika mazingira hayo, akili yako itakupa jibu. Hata hivyo, katika njia hii uwe makini kwani inawezekana huyo msichana ni mfanyakazi mwenzake ambaye hupendelea kwenda naye lunch tu na hakuna kingine cha zaidi.

4. Chunguza nguo zake unapozifua
wakati unafua nguo zake, tumia muda mwingi kuzichunguza. Angalia kwenye waleti yake, unaweza kukutana na risiti zinazoonesha amenunua vitu vya kike ambavyo wewe hujaviona. Pia unaweza kukutana na vikaratasi vyenye namba za simu ambazo ukizipiga ni za mwanamke na ukimwambia wewe ni mke wa fulani, anakupa majibu ya kiwiziwizi. Pia kwenye nguo zake unaweza kubaini ‘lipstick’ nyekundu wakati wewe hutumii hiyo.

5. Muazime gari lake
kama mpenzi wako analo gari, mshitukize kisha muombe gari lake uende sehemu. Kwa kumshitukiza atakuwa hajapata nafasi ya kulisafisha hivyo ukiwa nalo lichunguze kila sehemu. Unaweza kukutana na risiti, namba za simu au nguo na vitu vya kike ambavyo huvijui. Wapo ambao waliwahi kufanya hivyo na wamefanikiwa kubaini usaliti wanaofanyiwa.

6. Mshitukize baa
yawezekana mumeo ni mnywaji wa pombe na umekuwa ukimpa uhuru wa kufanya hivyo bila kumfuatilia. Kama umebaini unasalitiwa na humjui anayekuibia penzi lako, siku moja muulize anakunywa pombe wapi, kwa kuwa amezoea huna tabia ya kumfuatilia, atakujibu. Siku hiyo mfuate, mwanamke utakayemkuta naye mnoti kisha ondoka bila mpenzi wako kujua. Siku nyingine, mbabatize tena akiwa baa na kama utamkuta na msichana yuleyule, basi mwekee alama na kwa uchunguzi ambao utaendelea nao, kuna siku utajua ukweli.

7. Mfuatilie
hili nalo halishauriwi kulifanya kwani mpenzi wako akijua unamfuatilia, anaweza kukuacha kwani atajua humuamini na wengi hawapendi kuendelea kuishi na watu ambao hawawaamini. Ila sasa, ukishahisi unasalitiwa huna budi kufanya hivyo. Tumia watu kufuatilia nyendo zake kila anapokwenda na haitachukua siku nyingi utajua huyo mpenzi wako anakusaliti na mtu gani.

Kwa kifupi ni kwamba, unastahili kuwa na mtu muaminifu, anayekujali na kukupenda kwa dhati. Unapohisi mumeo si muaminifu, usikimbilie kuomba talaka au kuja juu kama moto wa kifuu bila kuwa na ushahidi. Tumia mbinu hizo hapo juu kutafuta ushahidi wa kile unachokihisi na mwishowe utafanya uamuzi sahihi.

Poleni kwa kuwachosha ila ni njia ya kujifunza........

na ingekuwa au itakuwa vizuri ukiweka sifa au dalili za upande mwingine
 
lol...haya ni maswala ya kujitakia kufa wakati unawaacha wenzio wanaponda raha ,aka mi cfanyi hivi ng'o
 
Hakuna mbinu nyingine ? kwa sababu ukitumia hizi mbinu zoote bado hutanikamata kwa sababu haipo ya kuni capture
 
duh! sifanyi hiyo kazi i have a lot to do about my self and kisa nini? ufanye yote hayo? u dont have any kazi ya kufanya? labda wanaosugua visigino barazani na kupiga soga ndio anaweza kufanya hivyo, hivi unatakiwa ujiulize mpka amekuoa wewe kapita kwa wangapi? na yote ni juu ya nini? mbo....o? au? sijaumbiwa mimi ile ya kwangu ninayo ataipeleka then atairudisha home.
 
Mwanamke lazima uwe na mipaka kwa mume,lasivyo hio ndoa haiwezi kudumu!! Mume ni mume tu hata ufanye nn!
 
Back
Top Bottom