Mrembo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 414
- 210
Kongosho yaani ninavyokuona wewe ni ngumu kwa mtu yoyote kujizuia kutokupenda awe mkubwa au mdogo.
Nakubaliana nawe, recently nilikuwa na mwanangu somewhere ambapo mkubwa fulani alikuwa akihutubia, basi tukawa tumeshikana mikono na my sonushka; mnene mmoja (mwanamke) alishindwa kujizuia kucomment on my relationship with my son. Hivyo nakubaliana nawe, ukiwafanya watoto kuwa rafiki na equal zako hata kukusumbua hawawezi. Mimi nashauriana mambo ya finance na mipango na mwanangu since he was 6, kiasi kwamba nikimpunguzia allowance au baadhi ya vitu anaelewa. Hiyo imemsaidia hadi shule, walimu wananiambia huwa hawaachii mpaka awe ameelewa kila kitu; in that way anawasaidia watoto wengine ambao wako a little bit shy!
its true. hata mimi nimekuwa na uhusino wa pekee na mama yangu tangu mdogo sana. she always talked to me like a friend. marafiki zangu wanampenda sana maana she treats them like her friends, yaani story za kila aina yeye yumo tu. Na sijui alikuwa anabalance vipi, maana kwenye kukaza kamba alikuwa anakaza kweli. Mambo yangu mengi including mahusiano sikuona shida kumweleza. i love her so much, she is like a big sister, friend and same time a mother.