The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,844
If you dont mind...unadhani ni kwa nini walikwambia hivyo?...maana nikiangalia utoto wangu naona kama ni ngumu mtoto kumwambia mama mtu mzima kitu kama hicho; ila ni rahisi kumwambia mtoto mwenzio 'natamani mama yako angekuwa mama yangu'. Au ni ndugu zako wa karibu, ndio maana mkawa close mpaka wakaweza kufunguka na kusema maneno mazito hayo?
Walipenda upole?
Walipenda u close na wanao?
Walipenda swagg? (si unajua watoto tena wanaweza kukupenda kwa mavazi tu. Lol)
Au haukuwauliza kilichowavutia?
na mimi najiuliza hivyo hivyo...