Unasemaje kuhusu mgomo wa madaktari?

Mar 21, 2012
20
14
Nyie watanzania nao muna matatizo wkt mwingine, mnawakataza madaktari wasigome ili iweje? Mtawalipa nyie hayo malimbikizo? Imagine we unayekataza mgomo ndo ungekuwa daktari ungefanyaje? Fikirien. Aaaggrh....
 
Yaani! Doctars Wagome na wagonjwa waendelee kufa? Kwani mgogoro ni wa madcta na wagonjwa? mgogoro ni wa madcta na serikali,sasa na hao wagonjwa wana nini madctari jamanii? Hawaikomoi serikali, bali wananchi, yaani waendelee kufa na kupata madhara zaidi,naona huo sio ubinadamu kabisa.wawe na utu,watafute namna nyingine ambayo haiwezi kuleta madhara kwa wagonjwa.
 
Jf, imeivamiwa tena imevamiwa pabaya. Kila kukicha ni "viwavi jeshi"

from the scnario above, nina wasi wasi hata kama madaftari yao ya awali yalikuwa ya mistari mikubwa na midogo. Maana aina ya uandishi tofauti na hadhi ya great thinker!
 
Back
Top Bottom