Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,318 33,125 Jan 24, 2012 #1 hebu toa maelezo yako kuhusu hii picha.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Jan 24, 2012 #2 Ni ishara ya kuanza kwa mgomo wa Madaktari
Habdavi JF-Expert Member Mar 5, 2011 724 621 Jan 24, 2012 #3 Ana jumla ya masikio manne? Sababu naona sehemu ya macho imekuwa replaced na masikio.
rushanju JF-Expert Member Nov 3, 2011 3,130 4,620 Jan 24, 2012 #4 Atafanyiwa upasuaji na kuwekwa macho baada ya madaktari kuacha mgomo na serikali ikiwalipa vema
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,285 Jan 24, 2012 #5 Ni mzuri sana kwa kazi zetu,kwa kua wakati akiwa anapay atention kwa victim ni ngumu kugundulika so far
Ni mzuri sana kwa kazi zetu,kwa kua wakati akiwa anapay atention kwa victim ni ngumu kugundulika so far