Unasemaje kuhus hii picha?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
Unasaemaje kuhusu hii Picha? Ipe maneno Picha yangu hii.......

644349_522888337749481_1619062429_n.jpg
 
Hakuna kiumbe kilichoumbwa na Mungu bila akili. Huyu ndege (tumbusi - vulture kwa kiingereza) alifikiri mtoto kafa ila baada ya kumsogelea akaona ni njaa tu inamsumbua ndipo akamletea maji/uji kuamsha tumbo ili apate nguvu aendelee na maisha yake. Big up mheshimiwa waziri, picha imeleta tafsiri nyingi sana kichwani mwangu.
 
huyo ni ndege mwenye nia mbaya na huyo mtoto, amemuona kachoka, anampa maji machache apate nguvu ili amwamini ila mwisho wa siku ndege atamla tu huyo mtoto

kwangu naweza kusema ni hito ni Taashira(Ni matumizi ya lugha ya ishara kuwakilisha ujumbe fulani. Jina au kitu fulani kinatumika kumaanisha kitu kingine chenye uhusiano na kile kilichotumiwa-Symbolism) na huyo tai ni kama mabeberu-nchi za magharibi wanaokuja kutusaidia waafrika na nchi zenye dhiki kwa misaada midogo ya madawa na neti za mbu lakini m,wishoni wataondoka na mali nyingi zaidi-madini, gesi n.k- na mwishowe tutakuwa tumeliwa

hivi ndivyo ninavyoidadavua hiyo picha
 
anaona akimbeba akiwa na njaa atakua mwepes sana so bora ampe angalao maji ili awe mzito kidogo aweze kumbeba vizuri,.hiyo picha inafikisha ujumbe fulani kwenye jamii kama tai atakua na uwezo wa kuwasiliana na binadamu basi ni hadithi za abunuwasi ila kiukweli nilivyoona mimi ujumbe huu ni maalum kwa developed countries(tai/venture) to developing countries
 
huyo ni ndege mwenye nia mbaya na huyo mtoto, amemuona kachoka, anampa maji machache apate nguvu ili amwamini ila mwisho wa siku ndege atamla tu huyo mtoto

kwangu naweza kusema ni hito ni Taashira(Ni matumizi ya lugha ya ishara kuwakilisha ujumbe fulani. Jina au kitu fulani kinatumika kumaanisha kitu kingine chenye uhusiano na kile kilichotumiwa-Symbolism) na huyo tai ni kama mabeberu-nchi za magharibi wanaokuja kutusaidia waafrika na nchi zenye dhiki kwa misaada midogo ya madawa na neti za mbu lakini m,wishoni wataondoka na mali nyingi zaidi-madini, gesi n.k- na mwishowe tutakuwa tumeliwa

hivi ndivyo ninavyoidadavua hiyo picha
Mkuu chamakh Ni Kweli huyu Tai ni Nchi za Ulaya Magharibi

Uingereza,Ufaransa,Italy,Ujerumani, na Amerika wanakuja kwa huyo Mtoto ni Mfano wa nchi za Bara la Afrika njaa tupu wanakuja na

vijimisaada vya uongo na kweli kisha wakachukuwa dhahabu,Uranium, Gas, Almasi na Madini yote wakisha chukuwa wakatuacha sisi

Wa-Afrika na njaa yetu ipo pale pale. Wanatusaidia kwa uongo kisha wanatuuwa kwa Maradhi ya AIDS Ukimwi Ugonjwa Wa Saratani

na Ugonjwa WA Kisukari tunakufa huku wanatucheka jamani tuamke na hivyo viji msaada vya Pumba.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilichokuwa nafikiri ni kwamba hii picha inaonyesha jinsi gani viumbe vya duniani vinaweza kusaidiana.
Lakini pia hata waliohusisha hii picha na mambo yanayoendelea kati ya nchi za magharibi na afrika hawajakosea...
 
Mkuu chamakh Ni Kweli huyu Tai ni Nchi za Ulaya Magharibi

Uingereza,Ufaransa,Italy,Ujerumani, na Amerika wanakuja kwa huyo Mtoto ni Mfano wa nchi za Bara la Afrika njaa tupu wanakuja na

vijimisaada vya uongo na kweli kisha wakachukuwa dhahabu,Uranium, Gas, Almasi na Madini yote wakisha chukuwa wakatuacha sisi

Wa-Afrika na njaa yetu ipo pale pale. Wanatusaidia kwa uongo kisha wanatuuwa kwa Maradhi ya AIDS Ukimwi Ugonjwa Wa Saratani

na Ugonjwa WA Kisukari tunakufa huku wanatucheka jamani tuamke na hivyo viji msaada vya Pumba.

Kweli kabisa Mzizimkavu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom