Unaposikia wabunge wa CCM wamekutana jua maamuzi yao ndio maamuzi ya Bunge

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi.

Ni wazi wenye akili zetu tunajua kuwa tanzania hakuna bunge bali kuna vikao vya ccm ndani ya bunge. Wabunge wa CCM hupitia mambo yote kabla hayajaingizwa bungeni huyajadili na kufikia muafaka na wale kina mpina mnao wasikia wanapinga pinga ni danganya toto kwani yote walishayajadili kwenye vikao cha CCM pale bungeni.

Wabunge wa CCM mle bungeni zile kelele zote ni danganya toto mwisho wa yote ni kukubaliana kile walichokijadili kwenye chama chao kwa kifupi.

Tanzania maamuzi mnayoyasikia ni ya bunge sio ya bunge ni ya CCM bunge hutwisha mzigo usio wake hata suala la bandari na dp world lilijadiliwa sana na wabunge wa CCm kabla ya kupelekwa bungeni na bunge kuridhia sio bunge ni CCM imeridhia.

Kwa hiyo iwapo bandari yetu itauzwa basi ni CCM imeuza kwani imeshiriki kikamilifu.
 
Njaa mbaya sana,kwa vile ni kura ya wazi,wengi wanapiga kiroho pande,kwa huzuni kuu,maaana wanahofia wakipiga tofauti,wataukosa ubunge na raha zake,kama wewe ka milioni kwa mwezi kanakutoa roho,wenzio wanakapata kwa siku Tano TU,tena nje ya salary,wakitia maguu mjengoni,kilo mbili hii hapa!mshahara Milini 8!mikopo mpaka milioni 150+,kiinua mgongo 250M+,inabidi uwe na roho yq maraika kuyaacha yote haya,na usimame upande wa wananchi!!
Sasa wabunge wote wapo mure kimaghumashi,wanajua ubunge wao,ni chama kimewapa,kwa mtutu wa Bunduki,sio wananchi,nyie acheni TU,dawa ya mifumo dhalimu kama hii,Huwa ni mapinduzi TU,
Vamia,piga risasi,mpakq ccm wote wakimbie nchi,
 
Back
Top Bottom