Unaposema Lowassa mwizi, mwana CCM gani msafi ndani ya CCM?

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Ametuibia sisi na tumempenda sisi shida iko wap? kila siku lowasa mwizi, lowasa mwizi nani msafi ccm? acheni kuhadaa watu, je mkapa msafi? kikwete msafi? kuna kitu mnakijua kuhus lowasa sasa tunamtaka lowasa tuone kwa nini mnamuogopa mtu ambaye kwenu alionekana makapi.
 
tangu lini mtu kutoka ccm akawawajibisha mafisadi? magufuli mwenyewe anaita ccm kitanda cheny kunguni nini mnaotetea ccm mna akil timamu kweli? au mlipewa buku 7 ili kuingiza siku? huna aibu wakati weny ccm wenyewe wanaiogopa jina ccm. nauliza kwa nin mwaka huu hamna chagua ccm badala yake kuna chagua magufuli?
 
Kwahiyo kama mwizi tusiseme
anza na wewe kutoka nyumbani ndio mana tunauliza je mnapata wap ujasir wa kummnyooshea kidole lowasa mnatakiwa kunyamaza. je magufuli msafi? tukiacha huyo esbrow hela ilipita stanbic bank alichukua nani? ndio mana lowasa tunamtaka tena kwa hamu mkapumzike mmetudharau sana watanzania
 
Ametuibia sisi na tumempenda sisi shida iko wap? kila siku lowasa mwizi, lowasa mwizi nani msafi ccm? acheni kuhadaa watu, je mkapa msafi? kikwete msafi? kuna kitu mnakijua kuhus lowasa sasa tunamtaka lowasa tuone kwa nini mnamuogopa mtu ambaye kwenu alionekana makapi.

Babayako Mbowe mwenye amethibitisha kuwa Magufuli ni swafi, au hujamsikia?
 
Kwahiyo kama mwizi tusiseme

Issue ni kuwa kwa nn kuiba tuibe wote kutajwa nitajwe mie peke yangu. nyie wote wasafi?????, ccm, watz sio wajinga, hawawez kumhukumu mwiz mmoja ili kulinda majizi mia. hilo halitotokea
 
Kwani aliyesema mwizi ni sisi au chadema? Watanzania hatumtakiii.full stop ✋
 
Issue ni kuwa kwa nn kuiba tuibe wote kutajwa nitajwe mie peke yangu. nyie wote wasafi?????, ccm, watz sio wajinga, hawawez kumhukumu mwiz mmoja ili kulinda majizi mia. hilo halitotokea

Magufuli muadilifu siyo mwizi. Kwa hali ya sasa Tanzania tunahitaji kuwa na rais wa aina ya magufuli.
 
Issue ni kuwa kwa nn kuiba tuibe wote kutajwa nitajwe mie peke yangu. nyie wote wasafi?????, ccm, watz sio wajinga, hawawez kumhukumu mwiz mmoja ili kulinda majizi mia. hilo halitotokea

umenena vema mbona list ni ndefu ya majiz mpaka mnanunua watu ili kuhadaa watz? mwaka vijana lazima wapeleke msiba mkubwa lumumba jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Sijali nani ni mwizi, awe UKAWA au CCM, nisichokitaka ni serikali inayokumbatia wezi, tusingekua na hao wezi CCM au UKAWA kama serikali ingetekeleza wajibu wake.
 
Ametuibia sisi na tumempenda sisi shida iko wap? kila siku lowasa mwizi, lowasa mwizi nani msafi ccm? acheni kuhadaa watu, je mkapa msafi? kikwete msafi? kuna kitu mnakijua kuhus lowasa sasa tunamtaka lowasa tuone kwa nini mnamuogopa mtu ambaye kwenu alionekana makapi.

Haijalishi kuna nani ccm, kifupi chanzo cha matatizo ya ufisadi ni Richmond ikazaa Dowans na escrow. Lowasa hasafishiki.
 
Lowassa fisadi sawa na mafisadi wenzie 11 wengine waliopo kwenye list of shame ya Dr Mihogo Slaa including Kikwete, so That mâles the two of them!
 
Haijalishi kuna nani ccm, kifupi chanzo cha matatizo ya ufisadi ni Richmond ikazaa Dowans na escrow. Lowasa hasafishiki.

Mbona hamtaji Richmond zimeliwa ngapi hadi kuifilisi nchi? mitambo ya Richmond mbona mmeikumbatia hadi leo na mmemuonyesha Obama? nani asiye wajua kwa ubingwa wa kubambikia kesi? waswahili walisema heri nusu shari kuliko shari kamili; heri mafisadi 500 kuliko mafisadi elfu
 
Umekubali sasa mnao mafisadi 500 safi sana!
 
Haijalishi kuna nani ccm, kifupi chanzo cha matatizo ya ufisadi ni Richmond ikazaa Dowans na escrow. Lowasa hasafishiki.

escrow ni lowasa? ww boya kweli mti wa escrow ni IPTL na iliingia tz 1995 wakati mwinyi anaondoka madarakani ndio mana hata kuwasikia hatuwataki. lowasa mabadiliko, mabadiliko lowasa
 
Mwizi, mabadiliko,mabadiliko,mwizi!
 
Back
Top Bottom