Unaonaje wewe?

Hawa wanawake ni msalaba ambao Mungu alitupa sisi wanaume tuubebe hasa ukiwa mwanamke mpumbavu.Hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa ukimuoa kanisani.
 
Huo ushakuwa mzigo...uyo mwanamke anakosa heshima..mwanamke/mwanaume akifikia kufanya upuuzi kiasi cha mwenza wake kufahamu kinagaubaga hapo ina maana hana heshima wala woga na yuko tayari kuvunja mahusiano kwa vigezo na sababu zake...watu huwa wanapitiwa na shetani na kutoka nje ila kwa kuwa wana heshima kwa wenza wao mara nyingi huwa ni siri..hii inaonyesha kwa namna moja kujali hisia za wenza..!!
Aamue moja tu kuishi na uyo mwanamke na yanayojiri afe nayo au la aachane naye..kuyasema maovu yake tu haisaidii kamwe,ana mu-expose tu kwa watu then watu hao hao ndio wanaomshangaa yeye kuendelea kuishi na mtu aliyekosa utu..!!
 
Liwalo na Liwe!
Nawapinga watu wanaomshirikisha shetani ooh! Amepitiwa na shetani huyo shetani amempitia akiwa anaenda wapi?
Angemwacha tu...
 
Smooth roads never make good drivers!
Smooth sea never makes good sailors!
Clear Skies never make good pilots!
Problem free life never makes a strong & good person!
Be strong enough to accept the challengers of life.
Don't ask Life
"Why me?"
Instead say
"Try Me!"
Ni wakat wa rafiki yako kuacha upole na kua-act like a real man, namaanisha baba wa familia, au kichwa cha familia, huyo mwanamama anaonekana anamdharau mume wake coz ni mpole na hajawah kumuonyeshea uanaume wake...

Kuendelea kukaa kimya na kulalamika kwa friends ni kujiumiza na kujidhalilisha tuu, mwambie aamke.....
Kama hawez kum-control huyo mkewe bac amuache abaki na wanae si unasema alimlea huyo mdogo mamake akiwa skul so naamin ataweza kuwalea wanae, kuendelea kuishi na huyo bi mama bila kumweka mahali pake ni kutafuta magnjwa na hatimae kutuongezea watoto wa mitaan

Wanawake wengine bana
wengine tunasali daily tupate wanaume waaminifu na wapole wenyewe wanawachezea.................mxiuuuuuuuu
 
Unanitisha na busara..
umeitoa wapi?
 
Smooth roads never make good drivers!
Smooth sea never makes good sailors!
Clear Skies never make good pilots!
Problem free life never makes a strong & good person!
Be strong enough to accept the challengers of life.
Don't ask Life
"Why me?"
Instead say
"Try Me!"
Ni wakat wa rafiki yako kuacha upole na kua-act like a
real man, namaanisha baba wa familia, au kichwa cha
familia, huyo mwanamama anaonekana anamdharau mume
wake coz ni mpole na hajawah kumuonyeshea uanaume wake...

Kuendelea kukaa kimya na kulalamika kwa friends ni
kujiumiza na kujidhalilisha tuu, mwambie aamke.....
Kama hawez kum-control huyo mkewe bac amuache abaki
na wanae si unasema alimlea huyo mdogo mamake akiwa
skul so naamin ataweza kuwalea wanae, kuendelea kuishi
na huyo bi mama bila kumweka mahali pake ni kutafuta
magnjwa na hatimae kutuongezea watoto wa mitaan

Wanawake wengine bana
wengine tunasali daily tupate wanaume waaminifu na
wapole wenyewe
wanawachezea.................mxiuuuuuuuu

Ushauri mzuri mkuu nitampa aufanyie kazi..Thanx.
 
amrudishe kwao kwa muda wa miezi kadhaa ili ajirekebishe, kama tabia itaendelea basi waachane tu.

Tatizo lingine linalomfanya ashindwe hata kwenda kumshtaki kwao(binti) ni kuwa huyo mke,amepata malezi ya mama tu,maana mama yake alitengana na baba yake hivyo anahisi Kama mama yake na binti humpa binti yake kiburi..
Na jamaa anahisi mkwe wake anachangia kwa kiasi flani kuvuruga ndoa yao.
 
AJARIBU HUU HAPA. bony akae kimya ajifanye kama kuna kitu anapanga lakini hakifahamiki. Vilevile asishiriki tendo la ndoa wala asicheke ckeke nae na wala asiende hata kwa wazazi wake ku report. awe na mapenzi na watoto wake na asionekane kama mwenye mawazo.

nakumbia tina ata tapa tapa akisha zinguliwa huko nje moyo uta muuma sana na atamkumbuka mumewe hivyo atajirudi na kuomba msamaha. Asimwache kwani wapo kwenye ndoa mbaya zaidi wana watoto na aliapa kuwa atakuwa nae kwenye shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe, amwombe MUNGU huyo ambae aliapa kwake sikuzile amfungulie njia.
akifanya basi atapata magonjwa
 
tatizo huyo bwana(Bony) hajachukua hatua kama mamsapu wake anavotaka!

mwambie achukue hatua whether good or bad!

Kwanini ujilazimishe kula chakula unachjua kabisa kina sumu!
 
Ukiona hali ujue ni mambo ya mbwa kala mbwa, kumpenda mtu asiyeonyesha upendo kwako hata kama ni mkeo/mmeo ni sawa na kusubiri meli airport
 
Mkuu jamaa ameshawaza sana kumpiga chini,ila anahofu juu ya watoto wao..Na akifikiria ni vile ndoa ni ya kanisani.

kama hofu yake ndo hivyo bac asubiri kaburi sooner than latter, kuishi na mke/mme mzinzi ni kama kuwa na timed bomb it wil explode anytym
 
Kwanza pole sana kwa yaliyomkuta rafiki yako, ujue wanawake wa kiafrika tukichukuliwa kizungu saaaaaana kiburi kinatupanda. Na huruma nying huzaa dhambi.
Sipendi kupigwa na ninaogopa sana kupigwa ila huyo mke wako hata simtetei wala kumuonea huruma.
Inabidi utembeze kiboko cha uhakika yani mpaka ajue kuwa ndani kuna MWANAUME NA SI TU BABA.

Asiachane nae ila kiboko kitamnyoosha akiona anabanwa atafungasha aende kwa hao mafundi akikosa mlo mara mbili tatu atarudi.
 
AJARIBU HUU HAPA. bony akae kimya ajifanye kama kuna kitu anapanga lakini hakifahamiki. Vilevile asishiriki tendo la ndoa wala asicheke ckeke nae na wala asiende hata kwa wazazi wake ku report. awe na mapenzi na watoto wake na asionekane kama mwenye mawazo.

nakumbia tina ata tapa tapa akisha zinguliwa huko nje moyo
uta muuma sana na atamkumbuka mumewe hivyo atajirudi
na kuomba msamaha. Asimwache kwani wapo kwenye
ndoa mbaya zaidi wana watoto na aliapa kuwa atakuwa nae
kwenye shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe,
amwombe MUNGU huyo ambae aliapa kwake sikuzile
amfungulie njia.

akifanya basi atapata magonjwa

Nashukuru mkuu kwa huo ushauri.
 
Kwanza pole sana kwa yaliyomkuta rafiki yako, ujue wanawake wa kiafrika tukichukuliwa kizungu saaaaaana kiburi kinatupanda. Na huruma nying huzaa dhambi.
Sipendi kupigwa na ninaogopa sana kupigwa ila huyo mke wako hata simtetei wala kumuonea huruma.
Inabidi utembeze kiboko cha uhakika yani mpaka ajue kuwa ndani kuna MWANAUME NA SI TU
BABA.

Asiachane nae ila kiboko kitamnyoosha akiona anabanwa
atafungasha aende kwa hao mafundi akikosa mlo mara
mbili tatu atarudi.

Mkuu si mke wangu kama ulivyoanza,japo mwisho umerekebisha.
Kinachompa kiburi ni kikazi chake so, anaona hata akiachika ataweza kuishi na kama ilivyo desturi ya wanawake lazima atake mali..
Hicho pia kinachanganya rafiki yangu,akifikiri jinsi alivyojibana mpaka wakajenga hako kajumba..
Anahisi Kama mkewe atakang'ang'ania.
Kaaaazi kweli kweliii.
 
Back
Top Bottom