bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
Habarini wanajamvi.
Mimi naudhika jamani kama humu ndani kuna wazazi samahani sana, ila mnakosea sana kulazimisha mabinti zenu kuolewa na aina ya kabila fulani.
Kwani mtu anaoa kabila au mtu.Utakuta watu wameshapendana wakifika nyumbani wazazi wanakataa eti kigezo kabila fulani halifai.Kwakweli hii tabia inakera.
Tulijadili hili