hapana Bazazi! Ila nimeguswa coz kipindi hiki nina tumigogoro gogoro na nimpendae, so sometimes nahofia anaweza akapeperuka, coz ni kama nilimuomba MUNGU sana ndo nikampata.
ni kweli hutakiwi kutupa penzi..ila unaonaje ukimfanya kama kimada tu maana old is gold bwana uezi jua