Unanilostisha tu bora niende zangu...............

dfreym! Jamani yaliwahi kukukuta?

Ndimi Bazazi!

hapana Bazazi! Ila nimeguswa coz kipindi hiki nina tumigogoro gogoro na nimpendae, so sometimes nahofia anaweza akapeperuka, coz ni kama nilimuomba MUNGU sana ndo nikampata.
 
hapana Bazazi! Ila nimeguswa coz kipindi hiki nina tumigogoro gogoro na nimpendae, so sometimes nahofia anaweza akapeperuka, coz ni kama nilimuomba MUNGU sana ndo nikampata.

think loud and outside da box as u wanna see better. Ila pole sana na masaibu!

Bazazi!
 
hili kosa hili nilllilifanya kipindi fulani hivi mmmh niliumbuka sana
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom