Unanikatikia

Mwalimu wa somo la Biology form2 aliingia class na kuwataka wanafunzi kila mmoja achore viungo vya uzazi na kuandika jina la kila sehemu muhimu.Ghafla James akainama kuegemea dawati huku anaangalia chini kwa aibu.Mwanafunzi moja mtundu akamwambia mwalimu,
Mwalimu angalia James anacopy.
Ahahahaah!he is copying from the original!
 
jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,
jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..
Sio tutauana,sema ataniua!teh teh teh!
 
Baba alishangaa mtoto aliporudi kutoka shuleni analia,akamwuliza kwanini unalia?mtoto:aah nimechapwa fimbo mbili,
ile h/work uliyonifanyia usiku kucha nimepata ziro,heri hata ningefanya mwenyewe.
Baba kabakia mh!
Hapo dingi alikaa kimya bila ku-comment chochote!
 
Juzi ulinikatikia ofisini,jana ulinikatikia nikiwa kitandani,usiku ukanikatikia tena,asubuhi ile navaa tu nguo ukanikatikia hapo hapo,
kwanini unakatika kila siku?dah huu umeme wa tanesco nimechoka nao.
haaaaaaaaaaaaaaaa nilifikiri ni
 
Back
Top Bottom