Baba alishangaa mtoto aliporudi kutoka shuleni analia,akamwuliza kwanini unalia?mtoto:aah nimechapwa fimbo mbili,
ile h/work uliyonifanyia usiku kucha nimepata ziro,heri hata ningefanya mwenyewe.
Baba kabakia mh!
Mwalimu wa somo la Biology form2 aliingia class na kuwataka wanafunzi kila mmoja achore viungo vya uzazi na kuandika jina la kila sehemu muhimu.Ghafla James akainama kuegemea dawati huku anaangalia chini kwa aibu.Mwanafunzi moja mtundu akamwambia mwalimu,
Mwalimu angalia James anacopy.
mwanamke mswahili alioana na mchina, akazaa naye bahati mbaya kichanga kilifariki, siku ya mazishi mama alikuwa analia akisema..
uwii uwii nilijua tu vifaa vya kichina havidumu!
jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..
Hahaha kweli noma. Nalog offmwanasiasa mmoja alienda kwenye mazishi,akaombwa aseme maneno machache,mara akajisahau na kuanza;;;
wananchi oyee!chama chetu safi! duh watu wakaanza kuguna chini chini.
jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..
Baba alishangaa mtoto aliporudi kutoka shuleni analia,akamwuliza kwanini unalia?mtoto:aah nimechapwa fimbo mbili,
ile h/work uliyonifanyia usiku kucha nimepata ziro,heri hata ningefanya mwenyewe.
Baba kabakia mh!
mwanasiasa mmoja alienda kwenye mazishi,akaombwa aseme maneno machache,mara akajisahau na kuanza;;;