Tumewakosea nini watu wa Mwanza kuhusu Ukosefu wa Umeme?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi.

Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa mingine ambapo kwa wiki umeme unakatika mara moja.

Hivi tumewakosea nini sisi watu wa Mwanza.
 
Back
Top Bottom