Unamfahamu vizuri yule mzee mweupe anayeongoza magari pale mbezi stand...!!?

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Amefariki dunia leo...mungu amuweke mahali alipomwandalia.amen
 
pamoja na kula 200 za hiece kuvunja sheria alikuwa msaada mkubwa kwa watembea kwa miguu pale kwenye zebra!
may his soul rest in peace!
 
Kwel alitwaliwa yule kaka nilimfaham toka ameanza kuvusha wanafunz pale kuna wkt nilikuwa nampa hata mia mbil wameaga leo Alikuwa anaishi maeneo ya kmara na ni mwenyeji wa rombo. soure ni mm mwenyewe. R.I.P Kamanda.
 
sikuwahi kumfahamu lakini ubunifu wake ni kielelezo kwamba KAZI NI KIPIMO CHA UTU.Roho yako ipate rehma kwa Mungu ipumzike kwa amani,amin.
 
Amefariki dunia leo...mungu amuweke mahali alipomwandalia.amen
Aliwasaidia sana wavuka barabara ingawa kwa upande mwingine alikuwa anasababisha foleni kubwa sana ya magari kwa karibu wakati wote alipokuwepo akivusha watu na hasa watoto. Hatahivyo nawapa pole ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu. Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
OOOOOOOOHHHHHHHHHHH MY GOD MUNGU AMPE RAHA YA MILELE YAANI KTK WATU WAKIULIZWA ALIFANYA NINI MEMA DUNIANI NAHISI WALIOPEMBENI YAKE WATAWAHI KUJIBU NA UPENDO WAKE JAMANII NAMKUMBUKA TOKA AKIWA UBUNGO WAPENDWA ALIKUWA MSAADA KWA WANAFUNZII KWELIIIIIIIIIII LOH....YAANI PAMOJA NA KUPEWA VIJISENTI NA WASAMARIA MEMA AALIKUWA ANAPENDWA NA MATEJA KAMA TEJA KUMBE NI KUISHI TU NA WATU VIZURI SASA HUYU ANALO LA KIJIBU HUKO JUU ALITENDA MEMA WEWE NA HUYU WA CHINI MTAJIBU NINI...

404425_10151231166255578_821370577_22705126_1843633886_n.jpg
 
Acha tu kwaito mchango ni pm nikupe tigo pesa utafika ingawa naambiwa amelazwa pale himo usikuu huu wanasubiri kukuche apandishwe kule juu
mungu ampe raha ya milele bado ujachelewa kwenye michango..msisubiri wakafie appolo ndio tutoe michango tuanze hapa hapa tunaomjua
 
Hao ndo watu wa kuishi.
At least amelifanyia kitu taifa, ila Mungu haulizwi kwanini kamchukua huyu mwana halafu kamuacha Pinda?
 
Back
Top Bottom