Unamfahamu vizuri yule mzee mweupe anayeongoza magari pale mbezi stand...!!?

sasa mtu akizusha mtu amekufa atafaidika nini?
ulishaina uzushi wa kifo humu? embu niambie labda sijui.

na kama wewe unapenda source basi humu hapakufai wahi mbele

mwaya MADK HUMU NDIO WANAPATA AHUENI YA KIJILIWAZA NA MGOMO WE UNAWAAMBIA WAONDOKE AISEE WANAHISI KAMA UNAWACHINJA,,,ILA NIMECHEKA KWELI MAPENDEKEZO YAO WALIPWE MILLION 3..YAANI 3,000,000 LOH AMKO SIRIAZI KABISA JAMANI NA POSHO ZINGINE KWA MWEZI ANAENNZA ANAPATA MILLION 7...WANARUSHA B777??AMA 747
KHE KWA STYLE HII WATAUZA NA IKULU NDIO MLIPWE HIYO MISHAHARA JAMANI KAMA NI KWELI WALVYOTANGAZA BBC..KAZI MNAYO MIEZI MITATU SIKILA DK ANAOA HATA KAMA ALIKUWA APENDWI JAMANI..NA SHEREHE DIAMOND JUBILEE
BABU KUBWA
 
Kuna wakati niliwahi kufanya kazi Mbezi lakini sina uhakika kama ndiye alikuwa anavusha watu pale magari yanapoingilia stand ya Mbezi mwisho. Kama ndiye Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi
 
Back
Top Bottom