Unamchukuliaje ex wako?

Marafiki wa Ukweli, na anapokuwa na tatizo linalohitaji ushauri hasiti kuomba kwangu ila mapenzi tena big noooooooooooooooooooooo

Nice lakini mimi siwez kua na aman mume/boifrend akiwa karibu na Ex wake nakua nahisi wanaenda kukumbushana enzi
 
duuu kweli kipolo hakihitaji moto mwingi hata kwa mvuke u unapasha na unakula mweee
Ex ni nyumba ndogo nikijisikia napiga mzigo, haijalishi tuliachana vp hata kama tulishikiana visu kuna muda yataisha na mchezo utaendelea hata kama ameshafunga ndoa
 
the-ex.jpg
Haha kweli
 
Ma EX wengine bana mtu unakuta umewaacha kwa kutumia nguvu sana only because umepata a decent gal. Lakini unaweza kujikuta mara moja moja unakumbuka zile varangati zao za hapa na pale lakini sio kuwamisi kwamba unataka ukutane nao tena lol ila ukimkuta kama upo alone haupo na mamsap poa mnaweza ku crack two three jokes.
 
Kama mstabu atakua rafiki lkn kama mshenzi ni adui namba moja nitafurahi kuhiduria mazishi yake ikiwezekana afe mapema nipumue vema
 
Its a matter of time utakuja kurudia mechi hata baada ya miaka 10 au 20. Mwanzoni lazima hasira iwepo ila itaisha tu badae
Mimi siwezi kurudia match na Ex hata kwa bahat mbaya yan hata nkimuona roho haishtuki mayb kwasababu sikuwah kumpenda na hana kitu special cha kunifanya nirud
 
......bado namkumbuka sana....lakini sitamani kumuona...thats it
 
......bado namkumbuka sana....lakini sitamani kumuona...thats it

Haha bila shaka alikutenda vbaya na mliachana bado unapenda na nahc yey hakuna anakupenda km ulivokua unampenda,na inavoonekana wew ukipata ka chance lazima ugonge mzgo...haha
 
uhusiano na x wako inategemea jinsi mlivyoachana, ndio maana wengine wakikutana huwa wanakumbushia!
 
Hao ma-ex na ma-zed wadada mara nyingi hutaka uadui maana lengo lao lilikuwa ni ndoa pasi na kujua ndoa ni hatua. MI NATUPILIA MBALI (YAANI TUPA KULE KWENYE DURTBIN) WAOKOTE WATAKAOOKOTA maana hata Condom huwa zinaokotwa na kutumiwa na watu wengine wasio na hela ya kununua mpya.
 
Hakuna marefu yasiokuwa na mwisho
Kama tumezaa namchukulia kama mzazi mwenzangu(Heshima mbele)
Kama hatuku zaa yuko kila mtu na lake tukikutana uso kwa uso salam kama kuna stor baada ya hapo kila mtu kivyake
 
Afu mleta sred umenikumbusha longiii coz nina miaka4 since i last saw or even think of him,sikumbuki hata sura yake kalikuwa kembamba kama hakali saivi nina giant wa ukwee akinikumbatia naonekana kichwa tu
 
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?
Binafsi EX hawezi kua rafiki yangu wala adui yangu yan namuweka katika group la mtu wa kawaida tukikutana barabaran ni salamu tu hakuna story zingine(kama n msaarabu lakini) kama ni wale wanaoleta maneno mbovumbovu hakika sitaki hata unisalimie wala kuniuliza kitu na hata kuntext kwa bahati mbaya sitaki kabisaaaa


Namchukulia kama Toilet Paper iliotumika...
Juzi kati alijishaua kunitumia sms ya salam, mbona alijuta!
Maana nilianza na yeye kisha nikamaliza na Mama yake.
 
Word, hata aliyekuabuse; umejifunza kitu from that maltreatment so in a way wapaswa kumshukuru kwani hautakaa uruhusu another abuse. This is my principle, halafu imagine .....unatumia energy kubwa kumchukia mtu ambaye huna uwezo hata wa kuzuia asipate Oxygen; what is the use? au hasara ni ya nani wakati yeye anadunda.....
Haters maana yake they are not over the person. Mimi hakuna hata mmoja anayenisumbua! No feelings at all![/QUO
I had a fear of commitment and/or falling in love. The result?? A string of exes. Whenever I felt love coming my way I ran. I must have been a gem because whenever we cross paths, they have something to remember from this wild, fun, outgoing chic. I do not recall an ugly incident to make me hate any of my exes. But they sure were clingy. lol
 
Back
Top Bottom