Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia.

Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?

20240115_235756.jpg
 
Nakumbuka mafisadi yalikuwa yakijiharia wakijua sasa Utapeli wao kwisha.

Nakumbuka ulikuwa ni mda wa kipekee walioupata Watanzani na Waafrika kwa ujumla, kujipatia mapinduzi wanayotamania.

Nakumbuka harufu ya Samaki wa kukaanga ilivyotanda hewani, mate yalikuwa yanatoka na nilikuwa naomba mpimaji amalize nianze kuwatafuna hao sato.
 
Tanzania ni nchi ya majaribio, tutafika ila tutakuwa tumechoka mno.
 
Back
Top Bottom