Unajua unaongea na nani?

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,736
Devi kaajiriwa kwenye kampuni, akiwa ndo kwanza ana siku mbili, akainua simu ya mezani na kupiga extension fulani akijua kampigia mtengeza chai;
Devi: Oyaa hebu haraka leta chai
Jibu: Nani we mpumbavu unanituma mimi chai? unajua unaongea na nani hapa?
Devi: Sijui we nani?
Jibu: Mimi ndie Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hii.
Devi: Na we unajua mi nani?
Jibu: Sijui
Devi: Dah nashukuru Mungu, akaweka simu chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom