unajisikiaje mwanamke

inaonekana uko partial virgin, hujajaza basi so experience za kuchitiwa na vitu vya ajabu hujazipata.

Maumivu yanazidi sana kutegemea na umechitiwa na nani.

Imagine unamkuta honey wako kamwinamisha mbuzi, hivi kweli mbuzi naye kakushinda nini? Au papai?

Anyway, on a serious note, inajalisha sana kacheat na nani, bora acheat na mtu mnaendana endana lol

wengine ukiwaza tu, kweli nashare na Mwaju? Apetite inapotea miaka 50.

to me its better akacheat na mtu aliyenizid engo zote yaani kikazi, uchumi, uzuri wa sura na umbo, ucheshi na upendo chini ya hapo hamu inaisha aisee.

miye ANA alikuwa binti wa kimarangu mzuri wa sura sana japo vingine nilimzidi sana tu.
 
uzuri my foot..... watu wanaangalia yaliyomo kama yamo, wewe unakomalia uzuri ambao pengine hata housegirl kakuacha kwa points kadhaa
 
Mhu! Nzur wa mwanamke sio sura au umbo tu ,,japo katenda wrong huyo mjemba,! Ila dada kama wanawake wanapendwa kwa uzur wao wa muonekano ,,basi ingelikuwa hatuna share ktk huu ulimwengu ,, pengine huyo mwenzako oky sio mzur kama Ww ila anatabia jaamaa zmemvutia! So make sure yu add more effort to rescure yr love again ,,
 
Ohoo kumbe nyie mnajiangalia sura na maumbile shauri zenu mwenzako anaweza kua mtundu zaidi yako kwenye 6 kwa 6
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Kongosho umeua sana! Yan meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hahahahahahahahahahahahaha
hapa kweli lazima mwanamke ajihisi takataka!

Da nimecheka sana ukimkuta na kamuinamisha mbuzi au kabaka kuku cwez hata kuelezea....kwani atamkomoa nani
 
MZURI NG'OMBE..AKIFA ANALIWA!!!
unaweza kuwa umechukuwa mwanaume ambaye ana ile mentality kuwa prety ladies ni wakumega K yao na sio wakukaa nao.
 
ah ukumbuke wanawake wengi ulegea wakisha olewa so labda ugly lady ana mtreat jamaa vizuri zaidi
 
Dark City, hebu kuja pande hii!
Huwa unasema matatizo ya kuhusiana washirikishwe wazazi. Naona kama matatizo ya siku hizi yana tofauti na ya enzi zako na bibi DC! Sasa vijana wanataka na mwanaume 'ajishughulishe', ushaona hii? Hata wanaume nao wanakuwaga 'hawanogi'. Kuishi ni kujifunza, muulize Bibi akufanyie assessment, sio wewe kila siku unasahihisha mitihani, ufanyege na wewe QT

Haya mambo ya malavidavi yanasumbua sana akili za watu....

Ila kadri muda unavyoenda...kila mtu anakubaliana na hali kwamba ni mambo magumu sana; kwani unaweza kukuta wadau wanazeeka pamoja ila hawajuani kabisa....

Hata hivyo, uzoefu unaonesha kuwa wanawake ndio drivers wa mambo ya kule bedroom. Wakiamua yanoge, kwa kiasi kikubwa wanaweza!

Binafsi nitamshangaa sana mwanamume anayejisifu kwamba ni fundi wa mahaba, hata kama kaambiwa na mdau wake!!

Babu DC!!
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....


Wewe Eversmilin Galwewe...

Wanaume na wanawake wanatumia vigezo tofauti kabisa linapokuja suala la kuangalia uzuri wa jinsia tofauti..!!

Ila enzi zetu, Bibi DC alinambia kuwa angenifumania na mwanamke mkali sana kumzidi angenipa zawadi... Bahati mbaya, sikumuuliza ni kwa nini...!!

Hata hivyo, wanaume wanapoamua kwenda kuonja sample za nje, wanatumia sababu na vigezo tofauti kabisa na vile wanavyotumia kutafuta mke.....

Kwa hiyo ukimkuta mumeo na mwanamke mwingine, wala usihangaike kujiuliza vigezo alivyotumia mume kumuopoa...wakati mwingine ni ego ya midume tu ya kutaka kufunua funua sketi bila kujali imefunika nini...After all, wanaume wanatamani kuongeza idadi kwani inawaongezea confidence!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City hiyo sentensi ya mwisho nimeikubali, nilishawahi kumaanisha the same ila as usual nikakosa neno zuri la kutumia!

"Wanaume wanatamani kuongeza idadi kwani inawaongezea confidence"

Kuna mdada mmoja alileta issue ya uchovu wa mumewe kitandani na umalaya wake wa nje, nikacomment kuwa 'huwa wanapenda kujihakikishia nje kuwa wako juu, while they are not'.

Nina uhakika mwanaume anayejiamini atajistahi na kutulia na ndoa yake kuliko asojiamini.
 
Last edited by a moderator:
basi tafuta wa kukupa midundo ya ukweli ila ukae ukijua vikikolea havina siri.....
 
Hili ni tatizo. Ukiamua kwenda na mwanamke mwingine hakikisha ni mzuri kupita mpenzi au mkeo hata yeye akikundua hawezi sema kitu atabaki aki guna pembeni haaaa mpenzi wangu ana haki hapo kaopowa
 
Hapa ulitakiwa ujiulize "umepungukiwa nini mama mpaka jamaa kahamia huko kwingine".Inawezekana usafi, upendo, mapishi mazuri, kauli zako na ufundi wa kitandani ndiyo vilivyomfanya jamaa amfuate huyo mwanamke, na sio muonekano wako katika picha au barabarani.Wanaumeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
 
Ni kweli!Kila mwanaume ana kitu anachopenda kwa mwanamke, na sio uzuri peke yake.unaweza ukajiangalia ukafikiri unavyo vigezo,kumbe anachotaka ni kitu kingine kabisa
uzuri my foot..... watu wanaangalia yaliyomo kama yamo, wewe unakomalia uzuri ambao pengine hata housegirl kakuacha kwa points kadhaa
 
Jamani mpeni moyo huyo dada.alijua yuko sahihi.
Mhu! Nzur wa mwanamke sio sura au umbo tu ,,japo katenda wrong huyo mjemba,! Ila dada kama wanawake wanapendwa kwa uzur wao wa muonekano ,,basi ingelikuwa hatuna share ktk huu ulimwengu ,, pengine huyo mwenzako oky sio mzur kama Ww ila anatabia jaamaa zmemvutia! So make sure yu add more effort to rescure yr love again ,,
 
Hamkomoi mtu, amehamishia mapenzi yake huko.Sauti ya Meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!inammaliza kabisa mpaka anakusahau.
Da nimecheka sana ukimkuta na kamuinamisha mbuzi au kabaka kuku cwez hata kuelezea....kwani atamkomoa nani
 
Back
Top Bottom