unajisikiaje mwanamke

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
 
Kila mtu anayo namna ya ku'retreat' anapomshika mwizi wake..
But mind you..uzuri wa mtu ni 'relative'..
Kama alivosema The Boss inawezekana mautundu ndio yamemzingua msela wako..
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ni jifiche hapa pembeni none majibu yata kuwaje na nione atakeye kubali kuzidiwa ujanja na mwanamke mwenzie.
 
ha ha ha ha.. eversmillin...pole sana kwa hilo, cha msingi ungemuuliza huyo mwanaume ni nini kimemvutia kwa huyo mwanamke wewe unamuona mbovu sana ila mwanaume anamuona mkali sana. usimlaumu mwanaume, huenda wewe ukawa na kasoro fulani fulan ambazo mwanume hakutaka kuziweka wazi, unaweza kuwa mkali sana kwa nje ila ukawa mbovu sana kwa ndani. fanya uchunguzi kwann huyo mwanaume ametoka na mwanamke huyo mbovu kwa nje....ndani labda kakuzidi kiwango, wazo langu....:behindsofa:
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
 
ha ha ha ha.. eversmillin...polwe sana. unaweza kuwa mkali sana kwa nje ila ukawa mbovu sana kwa ndani. fanya uchungu kwann huyo mwanaume ametoka na mwanamke huyo mbovu kwa nje....ndani labda kakuzidi kiwango....:behindsofa:

Teh teh tehteh ok kama ndo cjui huyo mwengine eti mtundu zaidi what if mwanaume mwenyewe hajui kujishughulisha ipasavyo we ndo unajitahidi kwa nguvu zako
 
Last edited by a moderator:
Dark City, hebu kuja pande hii!
Huwa unasema matatizo ya kuhusiana washirikishwe wazazi. Naona kama matatizo ya siku hizi yana tofauti na ya enzi zako na bibi DC! Sasa vijana wanataka na mwanaume 'ajishughulishe', ushaona hii? Hata wanaume nao wanakuwaga 'hawanogi'. Kuishi ni kujifunza, muulize Bibi akufanyie assessment, sio wewe kila siku unasahihisha mitihani, ufanyege na wewe QT
Teh teh tehteh ok kama ndo cjui huyo mwengine eti mtundu zaidi what if mwanaume mwenyewe hajui kujishughulisha ipasavyo we ndo unajitahidi kwa nguvu zako
 
Last edited by a moderator:
whether mkali au mbaya,wanaume the dont care abt that,kama wewe mkali kwa mwonekano,basi atajisifu akiwa na marafiki zake,pia safari kibao maana unafit kukaa kiti cha mbele.lakini upande wa pili,kifungashio cha nje chaweza kuwa ovyo,ila kilichomo ndani,ni cha high quality.
 
sasa unataka kotekote, chagua moja either wa kukaa nae kiti cha mbele au wa high quality kwa kilichomo ndani. Eversmiling Gal, mi ningemuuliza ni nini amependa kwangu na nini anapenda kwa yule alafu utapima mwenyewe kama chako ni cha mda basi utaachia mwenzio.

whether mkali au mbaya,wanaume the dont care abt that,kama wewe mkali kwa mwonekano,basi atajisifu akiwa na marafiki zake,pia safari kibao maana unafit kukaa kiti cha mbele.lakini upande wa pili,kifungashio cha nje chaweza kuwa ovyo,ila kilichomo ndani,ni cha high quality.
 
inaonekana uko partial virgin, hujajaza basi so experience za kuchitiwa na vitu vya ajabu hujazipata.

Maumivu yanazidi sana kutegemea na umechitiwa na nani.

Imagine unamkuta honey wako kamwinamisha mbuzi, hivi kweli mbuzi naye kakushinda nini? Au papai?

Anyway, on a serious note, inajalisha sana kacheat na nani, bora acheat na mtu mnaendana endana lol

wengine ukiwaza tu, kweli nashare na Mwaju? Apetite inapotea miaka 50.

Hivi when u ar cheated, uzuri unasaidia maumivu? I mean if u ar beautiful than mgombea mwenza, does it make u feel more of a woman?
 
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....

Jitahidi kujua interest za mwenzi wako zinaweza kukusaidia na kumdhibiti asitoke nje ya ndoa KAMA hana tabia za namna hiyo.
Kumpotezea wakati una ushahidi wa kuwa mumeo anatembea nje ya ndoa ni kusaliti mahusiano yako mwenyewe maana kadiri unavyoendelea kupotezea ndivyo wao wanavyoendelea kupeana raha na eventually unaweza kushangaaa unapigwa talaka bila kujijua au mume anahama nyumbani kimya kimya.
Amsha akili, na chukua hatua, ebooo!
Chezea maufundi, yatakuvunjia ndoa!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Kongosho umeua sana! Yan meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hahahahahahahahahahahahaha
hapa kweli lazima mwanamke ajihisi takataka!

inaonekana uko partial virgin, hujajaza basi so experience za kuchitiwa na vitu vya ajabu hujazipata.

Maumivu yanazidi sana kutegemea na umechitiwa na nani.

Imagine unamkuta honey wako kamwinamisha mbuzi, hivi kweli mbuzi naye kakushinda nini? Au papai?

Anyway, on a serious note, inajalisha sana kacheat na nani, bora acheat na mtu mnaendana endana lol

wengine ukiwaza tu, kweli nashare na Mwaju? Apetite inapotea miaka 50.
 
kuishi kwingi kuona mengi, yaani kuna saa yaani hadi unaenda kujitazama kuhakikisha huna mapembe.

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Kongosho umeua sana! Yan meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hahahahahahahahahahahahaha
hapa kweli lazima mwanamke ajihisi takataka!
 
Dah my sister me nahisi uzuri unakuwa ni miongoni mwa category nyingi za kumvutia mtu.. Unaweza mkuta mwanamke hana mvuto but anavionjo vingine vinavyomfanya mwanamme adate
 
Hivi when u ar cheated, uzuri unasaidia maumivu? I mean if u ar beautiful than mgombea mwenza, does it make u feel more of a woman?

Nami nimejiuliza hilo; lkn kama itamfanya maumivu yapungue kdg or rather confidence isishuke good for her!
 
Dah my sister me nahisi uzuri unakuwa ni miongoni mwa category nyingi za kumvutia mtu.. Unaweza mkuta mwanamke hana mvuto but anavionjo vingine vinavyomfanya mwanamme adate

Uzuri unawavutia wengi, but it takes more than uzuri kumkeep mtu.

Assuming huyo mwanaume sio player but he is looking for something more. Anaweza akikute kwa not so beautiful girl na kuwekeza huko na kumuacha miss Mzuri home.
 
Akuu haukukata kwa sababu hiyo hata cpendi kumchunguza nimeileta hii mada tu nione wenzangu mnalichukuliaje
Nakushauri "Usitukane mto kabla hujavuka mamba!", kama hayaja kutokea basi yasikie tu kwa watu Mbalii yasikufike
kwa kuiyaita mwenyewe!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom