Unahitajika mkopo wa Tsh 5 mil. Dhamana ni nyumba

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,539
Habari za mida hii wakubwa?

Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.

Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo).

Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote zitafuatwa.

Huyu mama (na mumewe) anafanya biashara ya mama ntilie, kwa mujibu wake, mwisho wa mwezi anaingiza faida Tsh 500,000 minimum.

Benki imeshindikana kwa sababu hana TIN namba na leseni ya biashara.

Karibuni
 
Habari za mida hii wakubwa?

naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.

kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo).

Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote zitafuatwa.

Huyu mama (na mumewe) anafanya biashara ya mama ntilie, kwa mujibu wake, mwisho wa mwezi anaingiza faida Tsh 500,000 minimum.

Benki imeshindikana kwa sababu hana TIN namba na leseni ya biashara.

Karibuni
Riba ya 20% vipi? Atalipa kwa muda gani hilo deni?
 
Kwani kutafuta tin na leseni bei gani au kuna usumbufu kiasi gani ili aje kuomba mkopo kwa watu binafsi. Me nashauri atafute hivyo vigezo alaf akaombe mkopo kwenye taasisi husika za kifedha huwez ukawa unaingiza minimum 500k alaf ushindwe kutafuta tin na leseni ukachukua mkopo sehem zinazoelewekablabda kama ni wakopaji wasiolipa ili waje wasumbue watu
 
Taasisi za kifedha kama bank, zitamuitaji kuzungusha tena account yake aweze kukizi vigezo.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Habari za mida hii wakubwa?

Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.

Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo).

Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote zitafuatwa.

Huyu mama (na mumewe) anafanya biashara ya mama ntilie, kwa mujibu wake, mwisho wa mwezi anaingiza faida Tsh 500,000 minimum.

Benki imeshindikana kwa sababu hana TIN namba na leseni ya biashara.

Karibuni
mkopo afanyie nini hujatuambia
 
Tuone picha ya nyumba yenyewe biashara ifanyike chap tuokoe muda.
 
Mkuu funguka zaidi, kuna kitu kama umekiacha kwenye mafumbo.
Nimewahi ona hili kwa macho yangu hata Binafsi limeshanikuta unamsaidia mtu kwa kumkopesha baada ya muda anaona uchungu kukulipa anaona sio haki yako tena anaona ni yake kabisaa kazi moto inaanzia hapo sasa, ogopa sana kumkopesha mtu mamilion 2-10, moja unaweza msamehe tu, mkopaji ananza kazi ya kukupiga kitabu, unaanza kushanga mtu unamdai halafu unaanza kumwogopa unajiuliza nini hiki? Unakaza unamwendea anaona wewe ni sugu Anakupiga Jini kabisa unaharibikiwa, DUNIA HII YA AJABU SANA
 
Pigia mstari binafsi mimimiaka kumi nyuma nilikuwa na huruma sana nikawa nawakopesha sana hawa raia ilifika mpaka nikawa nadai milioni 27 kwa watu 5 hv kuwadai nikawa naona aibu imeenda hyo hali baadae ikabidi niwe mkali kuanza kudai kwa nguvu kilichonikuta aisee nina maisha ya ajabu sana kutoka kumiliki pesa mpka kuishi kwa kutangatanga usithubutu kbsa kukopesha binadamu ni wabaya wabaya sana hbri ni ndefu sana nimefupisha tu
 
Pole sana ndg na mimi pia huruma hizi sometimes, LENGO SI KUHARIBU MADA YA MTOA HOJA, HUWENDA ANA NIA NJEMA TU, SHIDA NI PALE BIASHARA ITAKAPOENDA VIRAL /ALLAUH ATUNUSURU
 
Back
Top Bottom