Unafiki wa wanaJF inamaana hamumfeel mchizi kama anavyowafeel?

kama JF nzima ina greti thinka wawili tu basi itakuwa mimi na wewe. hawa kina hashy,uporoto, VOR yaani nina hakika hawakuelewa chochote katika hii goodbye language yetu. ndoto imekamilika. gud nite keren

Mkuu from my experience yule mlengwa mwenyewe huwa hatajwi kwahiyo nyie amewaaga kawataja mimi ambaye hajanitaja sijaagwa, Mkuu THINK about it..., hii inaweza ikawa puzzle ndani ya puzzle,
 
MANENO YA WAKOSAJI HAYAISHI MBWEMBWE....
HEBU SIKILIZENI ANAVYOLITAJA JINA LANGU........HASHYYYY.!! THINK vor THINK
 
dah! Keren Hapuch. yaani mkuu unaondoka na mzigo halaf unaleta na jeuri. acha niwasiliane na lawyer uporoto tuone nini tutafanya.
Ngoja nimwite Michelle atabadili kauli sasa hivi Michelle kiboko isije kuwa Hash anapokea kichapo wakiwa wawili,Hash sikuhizi kuna Tamla unaweza kusaidiwa (tanzania men lawyers association.)
 
hehehe ndio maana nakuaminia lawyer, yaani huyu jamaa akiwepo michelle anakuwa haongei kabisa. anagonga senksi tu na kuuchuna.
 
Ngoja nimwite Michelle atabadili kauli sasa hivi Michelle kiboko isije kuwa Hash anapokea kichapo wakiwa wawili,Hash sikuhizi kuna Tamla unaweza kusaidiwa (tanzania men lawyers association.)

WEWE NANI APIGWE NA MWANAMKE...(duh! hivi hasomi hii sredi?)....mimi ndo tamla wa nyumbani kwanguuuu...(eee mola muepushe michellle asisome hii sredi)
 
MANENO YA WAKOSAJI HAYAISHI MBWEMBWE....
HEBU SIKILIZENI ANAVYOLITAJA JINA LANGU........HASHYYYY.!! THINK vor THINK
Sawa mkuu bora mimi nina Hus wangu.., lakini kwa mwenendo wa hii thread nadhani na yaye ameshapeperuka...

Mmhh kweli hapa kuna kukosa yote na kuambulia patupu... ngoja niende kwenye jukwaa la utambulisho nikawawahi huko kama Katavi..
 
sijaiona mwenzio.
Tv ipo kwa fundi mwaka wa 4 sasa. Lol!
Kwenye ule wimbo kila jamaa akipiga simu demu si anajuwa namba anakata jamaa akaona si unajifanya mjanja akaenda kwenye kibanda cha TTCL na kumpigia demu kupokea jamaa akasema maneno yake na kukata,demu akamtafuta mwenyewe.
 
Sawa mkuu bora mimi nina Hus wangu.., lakini kwa mwenendo wa hii thread nadhani na yaye ameshapeperuka...

Mmhh kweli hapa kuna kukosa yote na kuambulia patupu... ngoja niende kwenye jukwaa la utambulisho nikawawahi huko kama Katavi..

V of R you are loosing your touch mbona huwawekei nyimbo siku hizi watakuelewa tu,mimi kwa Hus usiwe na shaka ni mshikaji tu na tunataniana.
 
:poa hopefully bado hajalala na anasoma hii..., Sasa mkuu sio uje tena baadae u-delete the POST...
 
Hahaha! hapana nitai-edit tu lol! Kwakuwa umeshai-quote kwako haiwezi badilika tena its cast in stone now i should have thought of that lol!
 
Huyu jamaa mbona kuingia na kutoka kwake ilikuwa kama dizaini fulani hivi. Naamini bado yuko hapa kwa ID nyingine
 
Sokomoko = Shosi

Kum-feel maana yake nini? Bi or Tri or Straight? How can some "feel" a "ghost"?
 
Kumbe huyu rafiki hayupo hivi nilikuwa wapi wakati anaaga ,maswaiba gani yamemkumba MS jamani :decision:
 
Back
Top Bottom