Unafiki wa kumlaumu sultani na usultani

Brunei kuna Sultan...

Sunday, 24 March 2019

FacebookTwitterLinkedInWhatsAppShare
Brunei, a success story from the beginning

Angaindrankumar Gnanasagaran
23 February 2018
FacebookTwitterLinkedInWhatsAppShare
BRUNEI_SULTAN_RESIZE_230217.jpg

Brunei's all-powerful sultan marks 50 years on the throne on October 5 with lavish celebrations including a glittering procession, a 21-gun salute and a ceremony at his vast, golden-domed palace. (AFP Photo/Roslan Rahman)
Officially, Brunei is known as Negara Brunei Darussalam - negara meaning country and Darussalam translating from Arabic to mean “abode of peace.” This sultanate with a rich cultural background and history, celebrates its National Day today, the 23rd of February.

Soma zaidi: Brunei, a success story from the beginning
Jazaakallah
 
Ndipo penye mtihan apo. Wanasema kila penye wazungu pana maendeleo kwa sababu wazungu hawatapapinga na hawataiba mali zake, hakutakuwa na hujuma kutoka ulaya au nchi za magharibi. Apo patakuwa na biashara za haki bin haki. No kudhurumiana. Tatizo ni kuwa weusi mtabaki kuwa daraja la tatu, au kwa lugha ya kisasa mtabaki kuwa watumwa na makarani au matarishi kwenye ardhi yenu.

Mkiomba kujitawala na mkapewa ndipo, mtashuhudia figisu, dhurma wizi vitisho na biashara zisizo haki. Na wakati mwingine vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mtauana na kumalizana.

Ndipo wengine kati yenu wataona bora cha mzungu kuliko mweusi. Na wengine wataona ili uwe kiongozi wa weusi wenzio ni lazima kunyenyekea wazungu au kufanya vile wanavotaka au kuomba wakubali wao kwanza wewe kuwa kiongozi au kuwaacha waongoze kwa mlango wa uan na ww kuwa kivuli tu.

Ndipo ubishi huibuka, watu wakijiuliza, je. Mtu mweusi aliumbwa sawasawa na mweupe au mweusi ana upungufu wa akili na utashi. Ubishi unakuwa mkubwa kiasi kwamba research zinafunguliwa kutafuta ukweli kisayansi.

Jpili. Njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi acha udini kwa sababu sio mdini na sina dini wenye dini wamekuwa brain washed. Simple and clear
Sasa suala la Utawala wa Sultan na watu wenye dini kuwa brain washed lina uhusiano gani?! Tatizo lako moja tu! Unaona Zanzibar ni Waislamu na Sultan ni Mwislamu na ndio maana unahusisha madai yao na dini! Lakini kumbuka kwamba, ingawaje Bara watu wanafanya utani kumtaka Mkoloni, usisahau Kisiwa cha Anjouan kule Comoro badala ya kupata mamlaka yao kamiili, wao wakataka kurudi kwa Mfaransa! Kuweka kumbukumbu sawa au kuwajuza wasiofahamu, Kisiwa cha Anjouan ni kile ambacho Tanzania tulipeleka kikosi cha JWTZ mwaka 2008 kwenda kumtoa madarakani Mohammed Bakari!

Majority ya raia wa Anjouan ni Waislamu kama ilivyokuwa Zanzibar!!!

Now tell me: Kama Zanzibar Waislamu kumtaka Sultan Mwislamu hiyo kwano unaona inatokana na hisia za kidini; what about Njouan ya Waislamu wanaomtaka Mfaransa Mkristo?!
 
Sultan, Wasegeju, Wazaramo, Wandengereko, Wazigua, Wahindi, Wadigo wote wageni Zanzibar ni kisiwa, nafikiri unajua hilo

Kuna wageni wamefika mwanzo kuliko wengine, kuna wageni wamechelewa kufika wamefika wakati maendeleo yameshafika..
Hao ni Wageni waliokuja baada ya Sultan kuleta maendeleo na ndio maana wanajulikana kuwa ni wageni, kuna Waafrika kule Zanzibar hawajulikani chimbuko lao..
Naona mahaba na Sultan yamezikudi, utawaitaje watu wa mwambao wageni wakati wamepakana na Unguja kwa maili 20 tuu?
Historia ya Zanzibar inasema kuwa Sultan aliitwa na Wenyeji wa Zanzibar ili aje kuwasaidia kumuondoa Mreno katika fukwe za Zanzibar, wakati huo Makao Makuu ya Sultan yalikuwa Kilwa..

Weka hisia pembeni angalia uhalisia wa hili jambo
Siyo kweli, Sultan alitoka Oman 1800s, dola ya kilwa ikiwa imeshaanguka miaka zaidi ya miaka 300 kabla ya Seyyid Said kuja pwani ya Zanzibar.
 
Naona mahaba na Sultan yamezikudi, utawaitaje watu wa mwambao wageni wakati wamepakana na Unguja kwa maili 20 tuu?

Siyo kweli, Sultan alitoka Oman 1800s, dola ya kilwa ikiwa imeshaanguka miaka zaidi ya 300 kabla ya Seyyid Said kuja pwani ya Zanzibar.
Sultan simjui wala sijawahi kumuona, mahaba yangu kwake ni kile alichokiacha Zanzibar, sio uongo kuwa wandengereko, wadigo na Wazaramu, na wengine wamepakana maili 20 tu kutoka Zanzibar mpaka walipo lakini hizo sio sababu za kuwafanya wao wasiwe wageni au wahamiaji kwavile CHIMBUKO lao sio Zanzibar..

Hata kama Sultan CCM angefanya mema Zanzibar, mahaba yangu yangeliangukia kwake, mimi sio mbaguzi napenda yule anaeleta maendeleo
 
Watu wa asili wa Zanzibar ni nani?
 
Watu wa asili wa Zanzibar ni nani?
Wazaramu, Wandengereko, Wadigo, Wasegeju, Wahindi, Waajemi, Wanyamwezi, Wamanyema, Wamakonde, Wayao, Warabu..

Mchanganyiko ya makabila hayo ndio yaliyotengeneza, ustaarabu, desturi na Mila za Waswahii wa Zanzibar..

Hao ni Wahamaji waliohamia Zanzibar kwa nyakati tafauti na kwa sababu tafauti,wakaoana na kuzaliana na kutengeneza kabila jipya liitwalo WASHWAHILI..

Katika hayo makabila wako waliokuja kutafuta maisha wenyewe, wako walioletwa kama watumwa, wako walioitwa kuja kuwalinda wengine, wako waliokuja kwa kulala DAGO nk..

Lakini ukitazama kwa makini na kutafakari utaona kuwa Hawa Waliofika Zanzibar kwa kwenda kulala DAGO ndio unaweza kusema wao ndio walioanza kufika Zanzibar mwanzo wao ndio waliowakaribisha wengine, wao ndio wenyeji wa Zanzibar..
 
Shekh, unachanganya sana urojo mpaka unakuwa hauliki; wahindi, waarabu na waajemi watakuwaje watu asilia wa Zanzibar? Yaani visiwa vipo Afrika, kilomita chache tuu kutoka visiwani wenyeji wake wana nywele za kipilipili, itakuwaje wenzao wa ng'ambo ya pili huko zanzibar wawe na nywele za kulala. Huoni kuwa hao wenye nywele za kulala ni wakuja?

Kwa nini mzaramo anayetoka km 50 awe mkuja wakati muhidi anayetoka 8000km awe mzanzibari asilia?

Kwani visiwa hivyo kabla ya sultan vilikuwa pori?
 
Mkuu naona husomi uzuri comments zangu,naona kama unasoma kwa mihemko zisome uzifahamu,sijatumia neno "asili" katika comments zangu..

Soma ufahamu halafu rudi tena..kwanza unatakiwa ujeu maana ya neno "asili"..
 
Na hii inaonesha dhahri kuwa Zanzibar inauhusiano mkubwa na waafrika kuliko waarabu wa Oman.

Hao kina sheni na Mwinyi hivo vizazi vyao vimehamia majuzi tu mkuu hata miaka mia 100 haifiki kwaio hicho sio kigezo kabisa.
 
Shekh, unachanganya sana urojo mpaka unakuwa hauliki; wahindi, waarabu na waajemi watakuwaje watu asilia wa Zanzibar? Yaani visiwa vipo Afrika, kilomita chache tuu kutoka visiwani wenyeji wake wana nywele za kipilipili, itakuwaje wenzao wa ng'ambo ya pili huko zanzibar wawe na nywele za kulala. Huoni kuwa hao wenye nywele za kulala ni wakuja?

Kwa nini mzaramo anayetoka km 50 awe mkuja wakati muhidi anayetoka 8000km awe mzanzibari asilia?

Kwani visiwa hivyo kabla ya sultan vilikuwa pori?

Anakua mkuja kwasababu hao unaowazungumza yeye kawakuta kule. Haiwezekani kuwa eti mzaramo awe na haki zadi Zanzibar kwa hoja ya kuwa ati anatoka km 50, wakati watu wamemtangulia kwa zaidi ya miaka 200 kufika hiyo sehemu.
 
The children of the Sultan of Zanzibar Protected by two palace guards

1553447937474.png
 
Kila unachokiona Zanzibar kimefanywa na Sultani,

Miti ya Sultani
Miembe,Minazi ilitoka India ikaletwa kupandwa Zanzibar kwa niaba ya Sultani

Nyumba za Sultani
Sultani alileta mafundi kutoka India ili waje waijenge Zamzibar,angalia Mji Mkongwe

Usafiri bora kwa raia
Sultani alianzisha usafiri wa Reli kutoka Mji Mkongwe mpaka BuBuBu,

Umeme kwa kila mwananchi
Sultani aliweka Magenerator Makibwa,Zanzibar ikawa nchi ya mwanzo kuwa na Umeme katika Afrika Mashariki na Kati

Biashara huria
Zanzibar ilikuwa kama unavyoiona Dubai sasa hivi,hii iliwavutia wageni wengi kuja kuishi Zanzibar,wakiwemo Warabu,Wahindi Waajemi,Wazaramo,Wamakonde nk

Elimu Bora
Zanzibar ilikuwa inafata mfumo wa Elimu kutoka Uingereza,mitihani ilikuwa inatoka Oxford,moja katika chuo Bora duniani..

Ali Hasan Mwinyi,Aboud Jumbe Mwinyi hawa ni moja kati ya wageni waliofaidika na Elimu ya Zanzibar..

Kwa yote hayo aliyoyafanya Sultani kwanini nchi isiwe yake?Je baada ya Sultani kuondolewa,waliomuondoa waliweza kuendeleza aliyoanzisha..?

Je Zazibar chini ya Sultan CCM,Uchumi,Elimu,maendeleo ya kijamii nk yakoje??..
View attachment 1052688View attachment 1052689
Zanzibar ilikuwa na maendeleo makubwa toka enzi hiyo,TV coloured, railway nk.Baada ya Uhuru na hatimaye Mapinduzi hadi sasa imepiga hatua nyingi nyuma,so sad.
 
Back
Top Bottom