Sentebe
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 228
- 235
Jiwe hatoki mwambao sheikh.Kwa hali hiyo, Hata Jiwe nae atakua ni kijukuu cha Mwinyi Mkuu
Hapa twazungumzia waswahili na ndio wenye Zanzibar yao, mfano Almarhum Aboud Jumbe, Ally Hassan Mwinyi etc.
Jiwe hatoki mwambao sheikh.Kwa hali hiyo, Hata Jiwe nae atakua ni kijukuu cha Mwinyi Mkuu
Jiwe hatoki mwambao sheikh.
Hapa twazungumzia waswahili na ndio wenye Zanzibar yao, mfano Almarhum Aboud Jumbe, Ally Hassan Mwinyi etc.
Sheikh wahindi wekundu US ndio wenye nchi au wahamiaji wa ki Irish na wengineo?MKuu hao wamepokewa tu Unguja. Wao wenyewe makwao wanapajua vizuri tu
Sheikh wahindi wekundu US ndio wenye nchi au wahamiaji wa ki Irish na wengineo?
Australia je wenye nchi ni Aborign ama wahamiaji wa ki English na wengineo?
Mwenye nchi Zanzibar ndio huyo unaimuita mgeni kutoka Tanganyika, na UKWELI ndio huo.
kukubaliana na hali halisi mapema kutakupunguzia stress na matatizo ya afya yanayotokana na kutokubaliana na UKWELI.
Kwa hiyo wale watanzania wa horohoro pale Tanga ambao hawapakani na Kenya hata kwa kilometre 1 tunafaa Kuwaita wakenya???Naona mahaba na Sultan yamezikudi, utawaitaje watu wa mwambao wageni wakati wamepakana na Unguja kwa maili 20 tuu?
Siyo kweli, Sultan alitoka Oman 1800s, dola ya kilwa ikiwa imeshaanguka miaka zaidi ya miaka 300 kabla ya Seyyid Said kuja pwani ya Zanzibar.