Wanajf ni kama mwezi umepita tangu tufanye usaili katika idara ya uhamiaji na walisema watatangaza majina ya wale waliopita kwenye usaili huo. kama kuna mtu anayefahamu ktk hili jaman anijuze lini watatoa majina? kazi njema*
Sijasikia chochote hadi sasa,mimi niliomba ila kwa bahati mbaya hata kwenye interview jina langu halikutoka,nawafuatilia sana hawa watu mana nimeskia kuwa baada ya bajeti watatoa tena posts So kama nikiona na majina yenu ya waliopita kwenye usaili nitakwambia na wewe kama utasikia chochote kuhusu posts zao nyingine nijulishe tafadhali 0717900379.