Unafahamu yaliyojiri, idara ya uhamiaji???????????????

IHANDA

Member
Jun 28, 2012
62
15
Wanajf ni kama mwezi umepita tangu tufanye usaili katika idara ya uhamiaji na walisema watatangaza majina ya wale waliopita kwenye usaili huo. kama kuna mtu anayefahamu ktk hili jaman anijuze lini watatoa majina? kazi njema*
 
:ndugu zangu mwenye taarifa kuhusu hili wakubwa naomba mnijuze
 
Sijasikia chochote hadi sasa,mimi niliomba ila kwa bahati mbaya hata kwenye interview jina langu halikutoka,nawafuatilia sana hawa watu mana nimeskia kuwa baada ya bajeti watatoa tena posts So kama nikiona na majina yenu ya waliopita kwenye usaili nitakwambia na wewe kama utasikia chochote kuhusu posts zao nyingine nijulishe tafadhali 0717900379.
 
pamoja sana scofied si unajua tunatega mitego maeneo tofautitofauti , tigo ya 19 thelathini na nane thelathini na tano hamcin na tano
 
Kweli Wazee Enyewe
Me Nliomba Na Stil
Nackilizia Izo Majina Baada
Ya Ile Intervyu Ya Kwanza...
 
Back
Top Bottom