Una kiwanja mbezi beach/tegeta/watch out mtandao wa papa msofe na wizara ya ardhi

Hivi huyu Jamaa MUZAMIL ambaye maeneo ya Sinza Mori ana yard anapandisha Ghorofa 8 lakini LIMESIMAMISHWA Ghorofa ya 2!!! Kuna mtu ana hint???

Kafulia dili nyingi zimegoma! Halafu TRA wamembana anapotoa fedha za kujengea na company yake inalipa fedha kidogo tax, jamaa kauza gari karibia zote amebaki na gari za tours tu na zake za kutembelea.

In short hali yake sio nzuri
 
Miezi mitatu imepita Mzamil alitapeli kiwanja cha Mama Rwakatare wa mikocheni B assembles of God. Mama rwakatare akatumia kila njia ya kisheria akashindwa mzamili anamzunguka, mpaka akaamua kwenda kwa mama tibaijuka ndio mama tiba akamuita mzamili akamuonya lakini jamaa akabana ikabidi mama atumie nguvi ndio mzamil akaomba fidia ikabidi mama rwakatyare alipe ni sawa na kununua kiwanja kwa mara yapili. Kama katapeliwa mama rwakatare wewe je utashindikana????
Kiwanja hiki kiko mbezi beach beach street kinatazamana na Bahari

Ndugu wapendwa

Huyu ndugu yangu ni mtu wa nne kukumbwa na hii shida..kuna kundi liko wizara ya ardhi na mama tibaijuka analijua fika wanafanya klazi ya kubadilisha viwanja vya watu kwenye system ..kuna siku nilikuja na utapeli uliokuwa ukiongelewa wa huyu bwana papa msofe na mchaga mmoja aitwaye Mlay ambae Clouds ilipofuatilia aliitoa docs zote na kusema ameshangaa kule wizaran wamebadilishaje na huku saini kadhaa zikijirudia kwa huyo bwana ambae mwanzoni aliijiita Hashim.

Alipotakiwa kwenda wizaran akapeleka barua kama yeye..huyu bana amekuwa akila na mapolisi wa Kawe na mkuu wa kituo cha kawe na akadiriki kuvunja nyumba ya huyo bana kisa akuwepo nchini mwakaa mmoja.

Sasa basi leo niko mitaa ya ngrooo ngroooongroooo kijana wangu mmoja nae akaanza kutatngaza awezi hata kula ana shida, nini kilichomsibu anasema yeye alinunua kihalali na hata amelipia hiko kiwanja. Alipofika majuzi kwenda kufanya usafi akakuta kibanda chake cha vyumba viwili kimepigwa chini na mlinzi kapewa hela ameondoka.

Alipoulizia akaambiwa na majirani kuna mtu anajiita Adolph..na kaacha namba zake alipompigia akaanza kumuuliza shida yake akamueleza akamwambia unamjua papa Msofe kuwa makini na malalamiko yako akakata alipoenda wizarani akakuta wamebadilisha, bahati anajuana na waziri mmoja wakatumiana kimemo na mama.

Jamaa wanatafutana na mbaya zaidi vibali vyote vina saini za watu wamoja..na huyo papa amejenga fasta yuko kati kati na alivyoona majuzi ameitwa wizarana na wakubwa amempigia anaomba akutane nae nikamwambia unajua maana ya koma akome kama alivyokoma ziwa la mamake nikamwambia kundi lao kukusahaulisha na kukutupa baharini kama Osama ukawa mtanzania wa kwanza kuzikwa baharini bila kujulikana kitu cha kawaida afadhali Osama ndugu walijua yuko baharini.

Kama una ndugu ana kiwanja sehemu hizo kuwa makini ni mtandao mrefu wanatumia majina ya

Seif
Adolph
Hashim
Papa msofe hili huwa wazi akiwa anaitajika lakini mwanzoni anatumiaga hayo majina
kwa nini ukachukue ardhi ya mtu alielipia na kupewa kihalali ni nani anawalinda huko
wizara ya ardhi jamani?
 
Thanx baba.
 
Greeen Miles wako wanawinda Wanyama kibabe.

Uamsho wako Uraiani wakieneza chuki.

Seth yuko Mtaani akiaaandaa Escrow phase II

Papaa Msoffe yuko Uraiani kutapeli Viwanja kwa rahaaa!

Kuna wakati tutaelewana tu.
 
Huu utaratibu wa kilanguzi aliuasisi shujaa wa afrika miamba imeamua kutumia fursa fasta kabla mama hajafuta utaratibu huu wa kiharamia
 
Greeen Miles wako wanawinda Wanyama kibabe.

Uamsho wako Uraiani wakieneza chuki.

Seth yuko Mtaani akiaaandaa Escrow phase II

Papaa Msoffe yuko Uraiani kutapeli Viwanja kwa rahaaa!

Kuna wakati tutaelewana tu.
Hatari sana!
 
Back
Top Bottom