Un secured Bank Loan

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Sheria inasemaje iwapo unamkopo thru mshahara na mwajiri alikudhamini then akakufukuza Kazi.

Bank inamudai nani?

Naombeni ushauri WA kisheria
 
utadaiwa coz mwajiri alithamin kupitisha fedha zako za mshahara katika bank hiyo hivyo hata terminal benefits zako zitaingizwa uko baada ya termination
 
Hatutakudai iwapo tu,mwajiri wako alitupatia CORPORATE GUARANTEE ambayo ameji'commit kwamba ukiwa terminated yeye ata'settle deni letu...otherwise you're in for it!!!!
 
Back
Top Bottom