Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki.
Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati aliyokuwa amenifuta kazi kimakosa.
Nilivorudi kazini mwezi wa kwanza tu NMB Bank akaendelea na utaratibu wa kurejeshewa kiasi kilekile nilichokuwa nimeingia naye mkataba lakini pia take home yangu akachukua bila hata kujulishana, pia akaunt yangu inasoma some negative figures equal na lile deni la miezi nane ambayo sikuwa mtumishi.
Nilivoona hivyo niliwafata NMB tawi nililokopa wakanieleza hilo ni deni la nyuma na watakata take home hadi liishe, kisheria hii scenario yangu imekaaje?
Kuna eneo lolote naweza kupata unafuu kisheria?