Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
- Thread starter
- #41
ukiona mkeo na watoto wanataka kukuwahisha basi hiyo familia haina upendo. na wewe na uhusiano wako na familia yako si mzuri.
Bibi,uzoefu unaonyesha kwamba ndoa nyingi baada ya miaka kupita na watoto wakawa wakubwa upendo huwa unawekwa pembeni yanabakia mazoea na kutimiza wajibu.Halikadhalika kama ndoa ina watoto wengi huwa yanazuka makundi la baba na la mama,na hata wazazi wakigombana utaona watoto wana take sides kulingana na affiliation yao.Ndoa na siasa hakuna tofauti usanii mwingi.