Umuhimu wa matiti kwa mwanaume

Hapana iyo statement ni ya ovyo sana mkuu mwanaume matiti ya nini sasa?
 
Kwani wanyama wengine hawana??? Uliwahi kujiuliza umhimu wa nywele kichwani na sehemu zingine zikiwemo za siri??
izooo nlishajiuliza na naelewa kidgo kisayansi kuna mambo ya intergumentary (skin) ko naelewa mkuuu maswala ya dead cells (keratinocyte) ila kuhus iki kiungo tissue titi matiti sjaelewa
 
Yakiwa makubwa ambayo mn ndiyo lzm nione hiyo sifa kabla sijatongoza yana faida sana!
Mama akiwa ktk siku zake(period) mtu mzima naminywa hapo ‘Abdalllah kichwa wazi’ hadi nacheua
Kwangu sifa ya kwanza ya mdada lzm awe nayo makubwa sababu huwa yananiokoa sana wkt wa ‘njaa’ sista du akiwa anaumwa
ahsanthe kwa mchangooo mkuu ila nimesemea upande wa jinsia ya kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom