MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Jamani wakuu nauliza hili swali kutokana na post ya moja wa members kwenye moja ya threads. Je umri upi au wakati upi unafaa kuanza mapenzi? Na ni kwa sababu gani umri au wakati huo ndiyo muafaka? Naombeni maoni yenu wadau.